Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
🤣🤣hii njia n kiboko sinaga hamu nayo nltoka segerea saa 2 nmefika mwenge saa 6 usiku 🥲🥲
yaan hii njia nkiona nmekaa nusu saa kwenye foleni nashuka napanda bida tu family laiii
Yap bila hivo lazima ukomeyaan hii njia nkiona nmekaa nusu saa kwenye foleni nashuka napanda bida tu family laiii
Kwetu ipi sasa wakati huku ndio narudi nyumbaniSi mrudi kwenu
Miaka 60 ya uhuru hakuna maeneo ya wazi ya kuweka minada, watu wanapanga bidhaa barabarani, Barakuda, Boko nk hua nikipita siku za minada naumia sana kuona mambo shaghala bagala sana na watu kupanga vitu chini.Mkuu sababu ni mnada pale barakuda na daladala zinaovertake zinablock gari za upande mwingine ukivuka hapo barakuda huku mbele gari zinatembea tu