Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 999 Reaction score 1,898 Feb 5, 2025 #21 Waufukweni said: Kwetu ipi sasa wakati huku ndio narudi nyumbani Click to expand... Mkoani kwenu
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Feb 5, 2025 #22 fundi bishoo said: hii njia n kiboko sinaga hamu nayo nltoka segerea saa 2 nmefika mwenge saa 6 usiku 🥲🥲 Click to expand... Chai
fundi bishoo said: hii njia n kiboko sinaga hamu nayo nltoka segerea saa 2 nmefika mwenge saa 6 usiku 🥲🥲 Click to expand... Chai
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 1,426 Reaction score 2,845 Feb 5, 2025 #23 Nanye Go said: Tatizo manaukimbia mji mnawaachia wahindi nyie manaenda kuishi nje ya mji. Mjini kati saa 12 hakuna magari, tubadilishe makazi yetu. Click to expand... Kuna siku nimetoka zangu Kahama saa 12 jioni nipo mbezi safari ilikuwa ya kuelekea chanika aisee nilikatiza korogwe pale kwenda Kwa mkua nikaja kutokea mabibo hilo fole pale Mandela road Hadi Nyerere road nilijuta Hadi nafika chanika saa 8 usiku
Nanye Go said: Tatizo manaukimbia mji mnawaachia wahindi nyie manaenda kuishi nje ya mji. Mjini kati saa 12 hakuna magari, tubadilishe makazi yetu. Click to expand... Kuna siku nimetoka zangu Kahama saa 12 jioni nipo mbezi safari ilikuwa ya kuelekea chanika aisee nilikatiza korogwe pale kwenda Kwa mkua nikaja kutokea mabibo hilo fole pale Mandela road Hadi Nyerere road nilijuta Hadi nafika chanika saa 8 usiku
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Feb 10, 2025 #24 .