VIDEO: Hapa PolePole alikuwa anafurahia anayodanganya kuyaashangaa Leo!

VIDEO: Hapa PolePole alikuwa anafurahia anayodanganya kuyaashangaa Leo!

View attachment 3436829
Ukiwa Muongo au mnafiki, jitahidi usiwe msahaulifu.
Wewe MPUMBAVU, hivi unaujua Mchakato wa Kugombea Urais Kwa Mujibu wa Katiba ya CCM unavyokua??.


Unajua anapotajwa Mwinyi, Mkapa, n.k, anawazungumzia katika Hoja ya Mchakato wa Urais unaopatikana kwanza Kwa Kutoa Nia, Kuchukua Fomu, Kutafuta Wadhamin, kuchujwa na KAMATI Kuu, Halmashauri Kuu Kisha Mkutano mku?? .....Rais anayepatikana hapa ndio ambaye kwenye muhura wapili anapewa Nafasi hiyo .



Sasa ulivyo na matope kichwan, unakuja kufungua Uzi bila utafiti !!.



Mwaka 2015 aliyechukua Fomu ni nani na kupitia Mchakato ni nani?.

Sindio ilofanya Akapewa 2020 .



Samia Alipitia Mchakato lini?.
 
Fanya utafiti kwanza kabla ya kuandika matokeo yake unaumbuka nakuonekana unaongozwa na mihemko zaidi. Tuliaaaa, sindano ni ndogo lakini ikipenya vizuri unaumia!
 
View attachment 3436829
Ukiwa Muongo au mnafiki, jitahidi usiwe msahaulifu.
Shida ya Pole pole ni Samia kuwa Raisi tu na si vinginevyo. Ndo maana anapata tabu kuunganisha hoja kuipanguvu matamanio yake.

Yeye na lile kundi lililosimama kidete kuhakikisha kuwa Samia hawezi kuwa Raisi baada ya Magufuli kufariki na kinyume cha Katiba bado wapo na fikrq zao bado zipo. Kwa taarifa Pole pole alikuwa ni miongoni mwa lile genge. Yeye hapendi tu Samia kuwa Raisi sababu anazijua mwenyewe tangu day 1 baada ya Magufuli kufariki.
Nataka tumuulize maana yeye ndio mtetezi mzuri wa Kaktiba, baada ya Magufuli kufariki msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Raisi Samia kuapishwa kuwa Raisi. Kwa kuwa kila siku anasema ananmtanguliza Mungu mbele naomba na hili atoke hadharani na aseme kuwa alisimama kidete kuhakikisha katiba inafuatwa na Samia aapishwe kuwa Raisi. Subutuuu
 
Ni lini Samia alichaguliwa?

Na hata kama alichaguliwa kwa mgongo wa JPM (RIP) tayari ni miaka 10 kwa kanuni, sera na katiba ya nchi

Mwaka huu, ndani ya CCM, kulitakiwa mcgakato mpya wa kupata mgombea mwingine

Sasa wewe unajiandikia tu ujinga ujinga tupu

Subirini, 2030 ikifika, huyo mgombea wenu atakujieni na msemo wa, 2025 ndipo nilipigiwa kura kwa awamu yangu ya kwanza, kwa hiyo atahitaji tena miaka 5 mingine wajinga nyie
 
Umelinganisha vitu tofauti ... hapo ni baada ya kipindi cha kwanza kwa mwenyekiti ... sasa huyu ndiyo anagombea kwa mara ya kwanza .
 
View attachment 3436829
Ukiwa Muongo au mnafiki, jitahidi usiwe msahaulifu.
Polepole ni mnafiki wa sukuma gang hilo linafahamika, lakini hapa hujajibu hoja yake bali unataka kupotosha wenye akili ndogo. Samia hakuwa rais aliyechaguliwa kwa kura, bali alirithi kiti tika kwa marehemu. Na kwa sasa ilikuwa ni kipindi cha miaka 10 toka awamu yao imeingia. Katafute wa kupotosha.
 
Shida ya Pole pole ni Samia kuwa Raisi tu na si vinginevyo. Ndo maana anapata tabu kuunganisha hoja kuipanguvu matamanio yake.

Yeye na lile kundi lililosimama kidete kuhakikisha kuwa Samia hawezi kuwa Raisi baada ya Magufuli kufariki na kinyume cha Katiba bado wapo na fikrq zao bado zipo. Kwa taarifa Pole pole alikuwa ni miongoni mwa lile genge. Yeye hapendi tu Samia kuwa Raisi sababu anazijua mwenyewe tangu day 1 baada ya Magufuli kufariki.
Nataka tumuulize maana yeye ndio mtetezi mzuri wa Kaktiba, baada ya Magufuli kufariki msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Raisi Samia kuapishwa kuwa Raisi. Kwa kuwa kila siku anasema ananmtanguliza Mungu mbele naomba na hili atoke hadharani na aseme kuwa alisimama kidete kuhakikisha katiba inafuatwa na Samia aapishwe kuwa Raisi. Subutuuu
Eti Subutuu.😀
 
Back
Top Bottom