Wewe MPUMBAVU, hivi unaujua Mchakato wa Kugombea Urais Kwa Mujibu wa Katiba ya CCM unavyokua??.View attachment 3436829
Ukiwa Muongo au mnafiki, jitahidi usiwe msahaulifu.
Unalinganisha scenarios zisizolinganishika. Samia sio Rais wa kuchaguliwa. Wengine wote ni wa kuchaguliwa na waliteuliwa kugombea muhula wao wa kwanza baada ya kushindanishwa na watu wengine.View attachment 3436829
Ukiwa Muongo au mnafiki, jitahidi usiwe msahaulifu.
Shida ya Pole pole ni Samia kuwa Raisi tu na si vinginevyo. Ndo maana anapata tabu kuunganisha hoja kuipanguvu matamanio yake.View attachment 3436829
Ukiwa Muongo au mnafiki, jitahidi usiwe msahaulifu.
Polepole ni mnafiki wa sukuma gang hilo linafahamika, lakini hapa hujajibu hoja yake bali unataka kupotosha wenye akili ndogo. Samia hakuwa rais aliyechaguliwa kwa kura, bali alirithi kiti tika kwa marehemu. Na kwa sasa ilikuwa ni kipindi cha miaka 10 toka awamu yao imeingia. Katafute wa kupotosha.View attachment 3436829
Ukiwa Muongo au mnafiki, jitahidi usiwe msahaulifu.
Eti Subutuu.😀Shida ya Pole pole ni Samia kuwa Raisi tu na si vinginevyo. Ndo maana anapata tabu kuunganisha hoja kuipanguvu matamanio yake.
Yeye na lile kundi lililosimama kidete kuhakikisha kuwa Samia hawezi kuwa Raisi baada ya Magufuli kufariki na kinyume cha Katiba bado wapo na fikrq zao bado zipo. Kwa taarifa Pole pole alikuwa ni miongoni mwa lile genge. Yeye hapendi tu Samia kuwa Raisi sababu anazijua mwenyewe tangu day 1 baada ya Magufuli kufariki.
Nataka tumuulize maana yeye ndio mtetezi mzuri wa Kaktiba, baada ya Magufuli kufariki msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Raisi Samia kuapishwa kuwa Raisi. Kwa kuwa kila siku anasema ananmtanguliza Mungu mbele naomba na hili atoke hadharani na aseme kuwa alisimama kidete kuhakikisha katiba inafuatwa na Samia aapishwe kuwa Raisi. Subutuuu