Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hii ni mbinu ya kusafirisha wahamiaji haramu waethopia na wasomali brooWakuu
Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Hapo ni namna ya kusafirisha wahamiaji haramuHuenda amelipia kama special plate number kutimiza uchawa wake.
Kwani Chawa anashindwa kulipia hicho kiasia kwa maslahi yake?Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipigwa 5M kwa mwaka.
Ingia kwenye GePG/Trafic/Police/TRA kama utaiona hiyo plate number?Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipigwa 5M kwa mwaka.
Alafu utasikia wanakemea kampeni kabla ya wakati na wao wanajipakulia minyamaWakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Sasa kama kalipia kuna kosa gani hadi polisi wahangaike nae?Kwani Chawa anashindwa kulipia hicho kiasia kwa maslahi yake?
Kwa maana halisi huo ni "uwekezaji", wa hiyo milioni tano kwa matarajio ya kuzalisha maradufu ya mtaji huo.Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipigwa 5M kwa mwaka.
AstaghalalifurahhTutayaona mengi mwaka huu. sasa hii ni kiboko lkn bado kuna kiboko zaidi itakuja kwani wapo wanaume watavaa magauni kwani dalili ziko wazi.
Kwani hamjamwona yule kaka wa kule Minaki alikuja na nguo ya samia staili akiwa amevaa namwingine siku ya wanawake mwanaume nae akaweka kitenge begani.Astaghalalifurahh
Kulipia 5M ndo kutokufanya kosa?Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipigwa 5M kwa mwaka.
Eleza kafanya kosa ganiKulipia 5M ndo kutokufanya kosa?
Kuna mtu kasema amefanya kosa?Eleza kafanya kosa gani
Asimamishwe na polisi kwasababu gani?Kuna mtu kasema amefanya kosa?