PreGE2025 VIDEO: Hawa Chawa wa Rais Samia wenye 'plate number' za SSH 2025, Polisi wanaweza wasimamisha barabarani kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu

Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi wanaweza wasimamisha kweli kwa uchawa huu, ni rahisi kutumia kinga ya Uchawa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa sasa yale tunayoambiwa yamekamatwa tani milioni kadhaa na ya kupandwa imevunwa milioni hekta ladhaa, itasafirishwa bila kikwazo.
 
Huenda amelipia kama special plate number kutimiza uchawa wake.
Hao ndio wakwepaji wakubwa wa kodi wanajifichia kwenye hilo chaka lakini raia wanaolilia HAKI wanasakwa kama Digidigi na kupotezwa.
 
Wakuu

Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi wanaweza wasimamisha kweli kwa uchawa huu, ni rahisi kutumia kinga ya Uchawa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Attachments

  • IMG-20250403-WA0038.jpg
    IMG-20250403-WA0038.jpg
    164.1 KB · Views: 20
Hao ndio wanaoitafuna nchi kwa kumhadaa sa100, na asivyojielewa naye anafurahiii meno yote nje!.
 
Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipiwa 5M kwa mwaka.
Hivi wakiwa watatu wana hizo plate number utatofautishaje na zote zina namba hiyo SSH 2025? Ninavyoelewa mimi namba ya gari inatakiwa kuwa unique kwa usalama.
 
Swali la kujiuliza; Kwanini inatumika nguvu kubwa sana hivi? Kunanini nyuma ya pazia?
 
Wakuu

Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi wanaweza wasimamisha kweli kwa uchawa huu, ni rahisi kutumia kinga ya Uchawa.
​
Hizi gari zinatofautishwaje kama zote zinapewa namba moja ya SSH 2025? Nikiripoti SSH 2025 imegong mtu na kuua, watajuaje ni ipi?

Kuna vitu Tanzania ni vya ajabu sana
 
Back
Top Bottom