Kwa sasa yale tunayoambiwa yamekamatwa tani milioni kadhaa na ya kupandwa imevunwa milioni hekta ladhaa, itasafirishwa bila kikwazo.Wakuu
Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi wanaweza wasimamisha kweli kwa uchawa huu, ni rahisi kutumia kinga ya Uchawa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Na kusafirisha ngada pia, hao ni wazee wa kazi chafu kwa mgongo wa chama chakavu.Wanasafirisha wahamiaji haramu, mbna inafahamika hivyo.
Hao ndio wakwepaji wakubwa wa kodi wanajifichia kwenye hilo chaka lakini raia wanaolilia HAKI wanasakwa kama Digidigi na kupotezwa.Huenda amelipia kama special plate number kutimiza uchawa wake.
Wakuu
Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi wanaweza wasimamisha kweli kwa uchawa huu, ni rahisi kutumia kinga ya Uchawa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa kweli.Na kusafirisha ngada pia, hao ni wazee wa kazi chafu kwa mgongo wa chama chakavu.
Hivi wakiwa watatu wana hizo plate number utatofautishaje na zote zina namba hiyo SSH 2025? Ninavyoelewa mimi namba ya gari inatakiwa kuwa unique kwa usalama.Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipiwa 5M kwa mwaka.
Una uhakika zinalipiwa ?Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipiwa 5M kwa mwaka.
Ndiyo nina uhakikaUna uhakika zinalipiwa ?
Msio na hela endeleeni na tone tone yenu!Hii ni mbinu ya kusafirisha wahamiaji haramu waethopia na wasomali broo
Kwa Kodi za watanzania.Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipiwa 5M kwa mwaka.
Nyie majangili ya CCM mnaona mpo vzrMsio na hela endeleeni na tone tone yenu!
Hizi gari zinatofautishwaje kama zote zinapewa namba moja ya SSH 2025? Nikiripoti SSH 2025 imegong mtu na kuua, watajuaje ni ipi?Wakuu