Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Sijapenda kabisa kuwaona hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT Wazalendo.
Hawa Wachina wako AGAINST DEMOCRACY na ni marafiki wakubwa sana wa chama cha tawala.
Hawa wachina ndio ambao wana kile chuo cha Uongozi kule Kibaha kwa ajili ya "kutrain" viongozi wa CCM
Mfumo mzima wa demokrasia kuvurugika nchini kwetu hivi sasa hii inatokana na CCM kuiga mfumo wa Kidikteta wa Kichina. Hawakutakiwa kuwepo hapo.
Ni lini mliona wamekosoa kuhusu uonevu unaofanywa na viongozi kama ambavyo ubalozi wa Marekani au Ubalozi wa Ulaya wanafanya? Ni aibu kuona watu wanaofundisha udhalimu na kushiriki kupenyeza udikteta nchini wanakaribishwa kwenye mkutano wa wapinzani.
Sijapenda na haitakiwi kuwa hivi