Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
jionee mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo kwamba labda wanaongeza chokaa ?wanaroga
Msi beep mtapigiwa, Mtaletewa picha ambazo ndaniyake wakionekana Viongozi wajuu wa Simba wakishiriki vitendo vinavyo onekana vya kishirikina vikiwahusisha Kaduguda na Magori, Msifikiri Simba mnayo yafanya kwenye vyumba vya kubadilishia nguo watu awayafahamu ila tunalinda heshma za familia zao.jionee mwenyewe
😆😆😆😆Msi beep mtapigiwa, Mtaletewa picha ambazo ndaniyake wakionekana Viongozi wajuu wa Simba wakishiriki vitendo vinavyo onekana vya kishirikina vikiwahusisha Kaduguda na Magori, Msifikiri Simba mnayo yafanya kwenye vyumba vya kubadilishia nguo watu awayafahamu ila tunalinda heshma za familia zao.
Leta mambo tuyaoneMsi beep mtapigiwa, Mtaletewa picha ambazo ndaniyake wakionekana Viongozi wajuu wa Simba wakishiriki vitendo vinavyo onekana vya kishirikina vikiwahusisha Kaduguda na Magori, Msifikiri Simba mnayo yafanya kwenye vyumba vya kubadilishia nguo watu awayafahamu ila tunalinda heshma za familia zao.
wala hana hoja hata mojaLeta mambo tuyaone
hoja ya kishamba,kujadiri ni kupoteza muda hao wasauzi na yanga wap? na wap? video ya zamani sana iyo ndo unaipata leo
cha kufurahisha kuna mazuzu wameamini ni yanga
Jezi za mwaka 2014/2015
wanafanya nini ?Jezi za mwaka 2014/2015
Wanacheki Nyasi kama inachezekawanafanya nini ?