Video: Hawa wanapasha kiporo tu au wamerudiana mazima?

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,843
Reaction score
29,350
Mapenzi yana wenyewe na wenyewe ni wapendanao. Ndivyo unavyoweza kusema. Waweza kuwafitini wapendanao au wakakuletea kesi ukawa biased kwenye usuluhishi, lakini elewa kwamba mwisho wa siku wenye ufunguo wa uhusiano ni wapendanao wenyewe. Kumuambia binti yako kuwa ukoo fulani ni wachawi usikubali ukaolewa huko, ni kujisumbua bure.

Wanaosema kuwa wanawake wanapenda pesa na maisha mteremko nawakatalia 💯%. Tazama huyu jamaa alimtema mwanamke miaka mingi iliyopita lakini leo wamejikuta wakipasha kiporo. Au tuseme ndio wamerudiana mazima? Je, uliwahi kupasha kiporo au kurudiana na bebi wako kwa staili hii?

USHUHUDA
Jamaa yangu mwenye kipato cha chini aliwahi kumshawishi binti yake aolewe na mwanaume mwenye pesa akamtema yule mwaume maskini aliyeanza naye uhusiano, lakini mwisho wa siku binti alimrudia yule mwanaume masikini. Wanaishi naye hadi sasa na amemzalisha watoto mapacha. Ndiyo basi tena.​
 
View attachment 3580012​

😀😀😀 nguvu ya...
c7a61b14-218b-4267-988e-9b4f8b717e57.jpeg
 
Kutoka kuwa MTALAKA, ghafla bin vuuuu, amekuwa BABY! Ama kweli mbunye ina nguvu sana. Ndio maana wanawake wanaitumia mbunye kama fimbo ya kutunyanyasia.
 
Lakini huko chini jinsi kulivyo na sura mbaya kama Mungu asingewekapo utamu, sidhani kama kuna mtu angepashobokea. Mungu ni fundi sana aisee!😂🤣😂
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom