πππ nguvu ya...Mapenzi yana wenyewe na wenyewe ni wapendanao. Ndivyo unavyoweza kusema. Waweza kuwafitini wapendanao au wakakuletea kesi ukawa biased kwenye usuluhishi, lakini elewa kwamba mwisho wa siku wenye ufunguo wa uhusiano ni wapendanao wenyewe. Kumuambia binti yako kuwa ukoo fulani ni wachawi usikubali ukaolewa huko, ni kujisumbua bure.USHUHUDA
Wanaosema kuwa wanawake wanapenda pesa na maisha mteremko nawakatalia π―%. Tazama huyu jamaa alimtema mwanamke miaka mingi iliyopita lakini leo wamejikuta wakipasha kiporo. Au tuseme ndio wamerudiana mazima? Je, uliwahi kupasha kiporo au kurudiana na bebi wako kwa staili hii?
View attachment 3580012
Jamaa yangu mwenye kipato cha chini aliwahi kumshawishi binti yake aolewe na mwanaume mwenye pesa akamtema yule mwaume maskini aliyeanza naye uhusiano, lakini mwisho wa siku binti alimrudia yule mwanaume masikini. Wanaishi naye hadi sasa na amemzalisha watoto mapacha. Ndiyo basi tena.
Sio kivilee, πππNjaa gani tena mkuu? Wewe hujawahi kupashwa kiporo?
Nguvu ya puss acha kabisa mkuu. Kule chini ni kama kuliwekwa ushetani.πππ nguvu ya...View attachment 3580043
Sio kama... Ni halisi mkuu πNguvu ya puss acha kabisa mkuu. Kule chini ni kama kuliwekwa ushetani.
Lakini huko chini jinsi kulivyo na sura mbaya kama Mungu asingewekapo utamu, sidhani kama kuna mtu angepashobokea. Mungu ni fundi sana aisee!ππ€£πSio kama... Ni halisi mkuu πView attachment 3580046
Kutoka kuwa MTALAKA, ghafla bin vuuuu, amekuwa BABY! Ama kweli mbunye ina nguvu sana. Ndio maana wanawake wanaitumia mbunye kama fimbo ya kutunyanyasia.Mapenzi yana wenyewe na wenyewe ni wapendanao. Ndivyo unavyoweza kusema. Waweza kuwafitini wapendanao au wakakuletea kesi ukawa biased kwenye usuluhishi, lakini elewa kwamba mwisho wa siku wenye ufunguo wa uhusiano ni wapendanao wenyewe. Kumuambia binti yako kuwa ukoo fulani ni wachawi usikubali ukaolewa huko, ni kujisumbua bure.USHUHUDA
Wanaosema kuwa wanawake wanapenda pesa na maisha mteremko nawakatalia π―%. Tazama huyu jamaa alimtema mwanamke miaka mingi iliyopita lakini leo wamejikuta wakipasha kiporo. Au tuseme ndio wamerudiana mazima? Je, uliwahi kupasha kiporo au kurudiana na bebi wako kwa staili hii?
View attachment 3580012
Jamaa yangu mwenye kipato cha chini aliwahi kumshawishi binti yake aolewe na mwanaume mwenye pesa akamtema yule mwaume maskini aliyeanza naye uhusiano, lakini mwisho wa siku binti alimrudia yule mwanaume masikini. Wanaishi naye hadi sasa na amemzalisha watoto mapacha. Ndiyo basi tena.
πππππLakini huko chini jinsi kulivyo na sura mbaya kama Mungu asingewekapo utamu, sidhani kama kuna mtu angepashobokea. Mungu ni fundi sana aisee!ππ€£π
Hakuna mzigo hapo ni wenge tu bado linakusumbua HAYO ni mambo ya kawaida na huyo ni mwanamke wa kawaida.Kwa hiyo ingekuwa wewe huo mzigo ungeuacha bila kuudinya mkuu? Hebu kuwa mkweli, acha utani.
Mkuu inaonekana wewe ni mgeni kwenye haya mambo. Mwanamke sio makalio bali ni shughuli. Unaweza kumuona wa kawaida lakini shughuli yake pevu. Usipime!Hakuna mzigo hapo ni wenge tu bado linakusumbua HAYO ni mambo ya kawaida na huyo ni mwanamke wa kawaida.
Hii siri ni wanaume wachache sana ndiyo wanaifahamu.Mkuu inaonekana wewe ni mgeni kwenye haya mambo. Mwanamke sio makalio bali ni shughuli. Unaweza kumuona wa kawaida lakini shughuli yake pevu. Usipime!