Video: Haya mambo ya siri kwa wataalam kwanini yanasambazwa kiholela hivi, vya huko huwaga ni siri inayobaki huko huko, si mambo ya kutangaza

Video: Haya mambo ya siri kwa wataalam kwanini yanasambazwa kiholela hivi, vya huko huwaga ni siri inayobaki huko huko, si mambo ya kutangaza

Kayataka mwenyewe
Mungu aliyemuunba alikuwa anat9sha sana kuliko hizo mazindiko ya kipepo
Huwa wanafanya hivi kwa malengo ya kufanya uhalifu, mfano majambazi, vibaka, watekaji, wawindaji haramu, wezi wa majini( huwateka wavuvi na kuwanyang'anya kika kitu),wezi wa ng'ombe nk sasa wanajua fika Mungu yuko kinyume na uhalifu.
 
Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam.

kuna huyu mpuuzi yupo na simu anarekodi sasa video imevuja mitandaoni, alichofanya ni ujinga uliopitiliza.

Ingekuwa ni ile ya kuweza kutafuna sindano na nyembe bila athari ni sawa tu na nadhani mshawahi kuwaona waliofanyiwa hizo dawa, ila hii ni ishu nyingine kabisa, hii ni kinga mtu anawekewa dhidi ya mapanga, visu, mkuki, risasi, n.k. lakini huwa ina mlango wa nyuma upo wazi kwajili ya kumuua mtu wa aina hii, maisha ya huyu kijana kwa sasa yanaweza kuwa hatarini sana endapo watu wakishawishika kutesti kuitegua.

View attachment 2633767
Hiyo software nimeikubal sana inafaa kutumika jeshini kule kwenye vita ya Russia Vs. Ukraine
 
Kuna dogo wa Kigoma udogoni tulimcheka sana alivyoleta hadithi ya 'Abunuwasi' kuhusu vindono sijui.

Kumbe bhana hizo imani zipo kabisa laivu😳, si tulikuwa hatujawahi kusikia be4
 
Hii nchi ina waru wajinga sijawahi kuona. Yote hayo unatafuta nini? Labda ndio matayarisho ya kuwa jambazi.
 
Back
Top Bottom