Video: Haya mambo ya siri kwa wataalam kwanini yanasambazwa kiholela hivi, vya huko huwaga ni siri inayobaki huko huko, si mambo ya kutangaza

Kayataka mwenyewe
Mungu aliyemuunba alikuwa anat9sha sana kuliko hizo mazindiko ya kipepo
Huwa wanafanya hivi kwa malengo ya kufanya uhalifu, mfano majambazi, vibaka, watekaji, wawindaji haramu, wezi wa majini( huwateka wavuvi na kuwanyang'anya kika kitu),wezi wa ng'ombe nk sasa wanajua fika Mungu yuko kinyume na uhalifu.
 
Hiyo software nimeikubal sana inafaa kutumika jeshini kule kwenye vita ya Russia Vs. Ukraine
 
Kuna dogo wa Kigoma udogoni tulimcheka sana alivyoleta hadithi ya 'Abunuwasi' kuhusu vindono sijui.

Kumbe bhana hizo imani zipo kabisa laivu😳, si tulikuwa hatujawahi kusikia be4
 
Hii nchi ina waru wajinga sijawahi kuona. Yote hayo unatafuta nini? Labda ndio matayarisho ya kuwa jambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…