PostGE2025 Video: Helikopta yaimarisha ulinzi na usalama katika Jiji la Mbeya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tupo kitaa tunapanga mipango ilo acha tu lizunguke litakata wese tu
Mimi sio Gen Z Ila tupo nao hapa
TUNAJIPANGA
 
Ile dozi waliyopewa nyumbu ilikua ni kubwa sana kuliko ugonjwa wao lazima wapone ule uwendawazimu wa kuigaiga , leo nyumbu zimekimbia zimeogopa kuliwa na mamba
 
29288.jpg
 
Back
Top Bottom