Video: Helo wana JF please keep me in ur prayers. I am flying to Dizonga

Video: Helo wana JF please keep me in ur prayers. I am flying to Dizonga

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Baada ya kuview status ( still picture) wewe na roho yako ya kwanini unaenda kuchinja kondoo mweusi kwa mganga ili kumroga rafiki yako Kumbe jamaa kajificha zake mitaa ya Chanika kwa mama Chid Benz.

# If ur poor in real life it is ur govt problem but if ur poor on the internet then it is ur own problem.

# being rich in the internet is so easy

Ndio maana maisha yangu ni ya hovyo sana kimtazamo utanikuta nipo na nyagi stori zangu ni mambo ya pombe na mademu tu mpaka watu wanafikir sina future ila nyuma ya hayo Nina target zangu na malengo yangu na ndio maana nafanya ni siri yangu
 
Pamoja
 
Jamaa anamaanisha usidanganywe na status iliyoweka.
Mtu anaweza kuwa yuko zake Chanika, ila Status akasema anafly to dizonga.

Halafu wew kwa ujinga na wivu wako ukaenda kwa mganga.

Bado sijaangalia video.
Ur the true son of ur father. Kuna watu wana jiita ma GT halafu wanashindwa kuelewa suala dogo kama hili..
 
Back
Top Bottom