Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Ni kawaida kunapotokea epidemics or pandemic, any demise by any causes inakuwa handed with maximum medical precautions.
P
 
Wana Lumumba kweli Covid 19 ni kagonjwa kadogo tu , ooh corana virus where is thy sting?, ohh upepo tu utapita . Naona majibu yametoka na siyo mazuri.
 
Ulitaka niseme nini cha zaidi?

Hata hiyo video nimeiondoa kwasababu ya sheria za JamiiForums kutoruhusu hotlinking.

We mwenyewe hapo tukuulize kwanini unatumia fake ID?
Kwa akili yako hapo kuna ushahidi wowote kwamba ni dar? Na sio Congo au kwingineko?

Je na hao watu walialikwa kuja kushuhudia mtu aliekufa kwa corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako hapo kuna ushahidi wowote kwamba ni dar? Na sio Congo au kwingineko?

Je na hao watu walialikwa kuja kushuhudia mtu aliekufa kwa corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri nilivyoandika "inadaiwa" nilikuwa mjinga?

Unaelewa maana ya kutumia hilo neno?

Soma katikati ya mistari acha kukurupuka!

We mwenyewe hapo uhakika huna, sasa sijui ulitaka mimi niandikaje?!

Namba za magari zingewaza kusaidia kujua kama ni Tanzania au laa ila nashindwa kuzisoma.
 
Wa tz wengi tutakufa Mungu asaidie watu wamejikusanya makundi wanashangaa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…