Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi.
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Wahusika tunaomba ufafanuzi.
Video hii hapa:
Ni kawaida kunapotokea epidemics or pandemic, any demise by any causes inakuwa handed with maximum medical precautions.
P