Sijui Mch. Peter Msigwa anaweza kuwa na maoni gani akimwona mwamba Freeman Mbowe hasimu wake akiwa katika ubora wake kama hivi
Hii ilikuwa ni baada ya kuwa tukio la kuzomewa kwa Waziri Hamad Masauni na kushindwa kutoa hotuba yake kutokea na Freeman Mbowe kutuliza waombolezaji na baadaye alimsihi waziri aende akashike mic kumalizia hotuba yake. Hilo lilifanyika na waombelezaji kutii.
What amazing leadership from Mr. Freeman Mbowe.
Your browser is not able to display this video.
Kama Mch. Peter Msigwa una chuki na mzee Freeman Mbowe kwa sababu ya charismatic character yake na uwezo wake wa kiuongozi, basi Mungu akurehemu tu...
Lakini whether we like it or not, Freeman Mbowe ni kiongozi makini na thabiti.
Rais Samia Suluhu Hassan atumie mamlaka yake ya kikatiba kwa kuunda Tume huru ya Kijaji isiyohusisha polisi wala TISS ili ukweli wa mambo haya ujulikane na kila mtu mwenye ushahidi wa wahusika apeleke ushahidi wake huko ukiwemo wewe USSR upeleke wako dhidi ya yeyote unayejua anahusika akiwemo Mbowe....
Mnaogopa nini kuchukua hatua hii...?
Please bwana, hebu serikali na CCM acheni woga, unafiki na udanganyifu wenu wakati mnawajua wahusika (ambao ni magenge yenu) ya mauaji haya....!!