Soko la Afrika lililo kati ya Kongo na Gabon ambapo wazazi maskini walileta watoto wao kuuza, kwa vile hawawezi kuwalisha. Afrika iko kwenye matatizo makubwa
NB: Nimeiweka hii mada huku kwa ajili ya kutafuta uhalisia wake!
Your browser is not able to display this video.
Tunachokijua
Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na Taarifa inayosambaa ikiambatana na video ikielezwa kuwa ni ya soko la watumwa ambapo wazazi wanauza watoto wao.
Uhalisia wa madai hayo
JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa taarifa hiyo imekuwepo mtandaoni angalau miaka miwili iliyopita na si ya mwaka 2026 kama ambavyo imesambaa tena. Mathalani tazama hapa.
Vyanzo vya awali vilivyochapisha taarifa hiyo vimeeleza kuwa hali hiyo ilitoka katika mpaka wa Congo na Gaboni ambapo wazazi wanafanya kitendo hicho kutokana na ugumu wa maisha. Chanzo kimoja kilichapisha video hiyo Noveba 25, 2023 kiliandika;
"Hapa ni mpakani mwa Congo na Gabon, kutokana na ugumu wa maisha wazazi wanalazimika kuwauza watoto wao kwa wanaohitaji ili kupata pesa ya kuendeshea maisha."
Tovuti ya reliefweb iliachapisha makala yake mwaka 2012 na kueleza kuwa kumekuwa na ongezeko la watoto kusafririshwa kutoka katika mataifa yao kwenye kwenye mataifa yenye utajiri wa mafuta. Nchi hizo zilizotajwa ni Gaboni, Equatorial Guinea and the Republic of Congo.
Soko Kubwa la Ethiopia linaruhusu kila Aina Ya Biashara Kufanyika. Wasichana Kutoka Sehemu za ndani kabisa Hujileta Katika Soko Hilo ili Kununuliwa Katika Familia Zenye Uwezo. Na hapo tayari...
Soko la Afrika lililo kati ya Kongo na Gabon ambapo wazazi maskini walileta watoto wao kuuza, kwa vile hawawezi kuwalisha. Afrika iko kwenye matatizo makubwa
NB: Nimeiweka hii mada huku kwa ajili ya kutafuta uhalisia wake!View attachment 3554064View attachment 3549240
Wakati huo kuna pesa nyingi sana kwenye Serikali zetu zinazochezea mabilioni ya pesa kwenye mambo ya kipuuzi mfano sapoti ktk michezo ya mpira kudhamini timu na wachezaji kwa mamilioni ya pesa, kuhujumu kodi kwa matumizi ya hovyo/mambo useless kama posho za vikao visivyo na tija, mlolongo wa ununuzi wa mali za viongozi kama magari ya bei kubwa, ukwepaji kodi, matumizi nje ya bajeti.
Wananchi wanateseka wakulaumiwa ni haya majambazi yanayojiita wanasiasa, haya ndio yametufikisha hapa, kama Samia+kikwete wangeitawala hii nchi kipindi cha uhuru basi nina hakika hata TANZANIA tungekuwa sawa na hao watu wa Congo, migogoro isiyoisha, vita za wenyewe kwa wenyewe, ukabila+ubaguzi.

Wananchi wanateseka wakulaumiwa ni haya majambazi yanayojiita wanasiasa, haya ndio yametufikisha hapa, kama Samia+kikwete wangeitawala hii nchi kipindi cha uhuru basi nina hakika hata TANZANIA tungekuwa sawa na hao watu wa Congo, migogoro isiyoisha, vita za wenyewe kwa wenyewe, ukabila+ubaguzi.π―ππ¨