hapana redio alivyorushwa kichwa kilitangulia kugusa kiti /couch while uzito wa mwili ukiwa hewani then ukatua chiniNadhani alimpiga kichwa
Jamaa alibeba na kupiga chini kwenye SAKAFu, kweli Hasira Hasara wazee walisema Duh!Nadhani alimpiga kichwa
Mbona Kama naskia American English flan hapo. Navyojua waganda English Yao ya kiswahili kama ya bongo tu . Are you sure this video is Original? Halafu jamaa aliebamizwa hapo Kama sio radio Yani. Wamefanana tu physical body