Video: Hivi ndio msanii wa Uganda alivyopoteza maisha

Video: Hivi ndio msanii wa Uganda alivyopoteza maisha

hapana redio alivyorushwa kichwa kilitangulia kugusa kiti /couch while uzito wa mwili ukiwa hewani then ukatua chini
WWE wanaiita "spine buster" na inatakiwa atue na mgongo sasa hapo kwakua alitua na shingo/kichwa then tunasema ni "botched spine buster"..
 
Madhara ya kupenda kuangalia mieleka haya..ukitazama vizuri uyo jamaa amefanya kama vile wanavyofanya wacheza mieleka yaani tangu vile alivyompiga mara ya kwanza na ata alivyomuinua na kum'bamiza chini mpaka nikahisi labda jamaa ana skills za kupigana hasa mieleka au kickboxing. Naweza sema uyo jamaa ni mcheza hiyo michezo..no comment
 
HAPO SIO DER BAR ya entebbe sio kabisa ,halafu mose aliangukia nje kwenye pavement baada ya kujikwaa na kujipiga kichwa
debar 1.jpg
 
AKASINOZOni post: 25613788 said:
jamaaa atukuwa shabiki wa block lesnar sio kwa suplex cty hile
R.IP WEASEL
Mkuu aliyefariki ni mosey(redio/radio)
Not weasel,huyu ni mwenzie na marehemu waliokua wanaunda kundi la Goodlife
 
Hii siyo ya kweli, huko ni marekani
 
we unaona kabisa hapo unyamwezini kabisa hiyo sikia slang hizo na nn..!!hapo mtoni mzeebaba sio UG..!!!
 
Nimejikuta nacheka kama mazuri wakuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona Kama naskia American English flan hapo. Navyojua waganda English Yao ya kiswahili kama ya bongo tu . Are you sure this video is Original? Halafu jamaa aliebamizwa hapo Kama sio radio Yani. Wamefanana tu physical body
Unajua nilitaka kusema vijana siku hizi wanajifanya Wamarekani sana kwa hiyo si ajabu wakawa Waganda wanajivika lafudhi za Kimarekani, lakini nikachunguza zaidi na kugundua kwamba hapo si De Bar Entebbe.

Hiyo sehemu inaitwa "Majestic" na inawezekana kabisa ikawa Marekani.

Hakuna alama yoyote ya kwamba ni Uganda. Mavazi ya Kiafrika sioni, kofia zao za KLA sioni, lafudhi za Kimarekani kwa watu wote.

Kwa hiyo inawezekana kabisa video si yenyewe.
 
Hio video sio maana ukisikiliza accent za hao watu marekani kabisa
 
Back
Top Bottom