Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
WWE wanaiita "spine buster" na inatakiwa atue na mgongo sasa hapo kwakua alitua na shingo/kichwa then tunasema ni "botched spine buster"..hapana redio alivyorushwa kichwa kilitangulia kugusa kiti /couch while uzito wa mwili ukiwa hewani then ukatua chini