Video: Hivi ndivyo kipimo cha Corona Virus kinavyofanyika

Video: Hivi ndivyo kipimo cha Corona Virus kinavyofanyika

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Kwa hapa Tanzania bado tunapima JOTO

Kutokea Januari 1 mpaka sasa zaidi ya wasafiri milioni 1.8 wamefanyiwa ukaguzi kwa kupimwa joto la mwili katika vituo vya mipaka 27 ikiwemo viwanja vya ndege na bandari. BBC

Unaweza kuona namna hali isivyo shwari.

Dunia imefikia hapa kwa kutokuwa serious kwetu kuhusu COVID-19 tang mwanzo.
 
Wengi wamekataa hii ya kusukumiza puani
Maana hata anaeangalia tu anasisimka
USA wengi wamekataa na sasa makampuni yanashindana kutengeneza namna bora ya kupima na moja wapo itaingia na Amazon na Boots ndio watakuwa wauzaji wakubwa ni test unayofanyia nyumbani kama ile ya kupima damu
Unajichoma kwenye kidole na kuipima damu kama una Corona
Ila hii ya puani labda unipige nusu kaputi ndio utanipata bila hivyo sahau [emoji24]
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
View attachment 1407465

Sent from my iPhone using Tapatalk
Ile ya puani aiseeee hapana kwa dunia ya Leo 2020,,, utazan tupo miaka ya 1860

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! km ni kweli hicho ndo kipimo mateso hivyo
je ndio ukikutwa na hilo gonjwa aje hapo
ndo mana wengi wanaokufa ni presha.

Maana tangu unapimwa roho juu mana hata hicho kipimo chenyewe ukifanya masihara kinaweza kukudedisha kabla hata hujapata hayo majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kipimo gani hicho... Dah wacha nife lakini sio kudumbukiza mavitu puanai
 
Wengi wamekataa hii ya kusukumiza puani
Maana hata anaeangalia tu anasisimka
USA wengi wamekataa na sasa makampuni yanashindana kutengeneza namna bora ya kupima na moja wapo itaingia na Amazon na Boots ndio watakuwa wauzaji wakubwa ni test unayofanyia nyumbani kama ile ya kupima damu
Unajichoma kwenye kidole na kuipima damu kama una Corona
Ila hii ya puani labda unipige nusu kaputi ndio utanipata bila hivyo sahau [emoji24]
View attachment 1407465

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kweli aisee hii ya puani bora nikafe tuu.
 
Back
Top Bottom