Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Wewe ni mtoto kweli kweli kama Aisha na Nyota yangu kipindi zinatoka ulikua bado utotoni basi kuna uwezekano umezaliwa umeikuta zeze imesha toka na kuhit mpaka basi.Dah umenikumbusha utotoni
Zeze
Aisha
Nyota yangu
Kweli muda ukuta,huju jamaa sijui alikwama wapi