Video: Hivi ndivyo UVCCM walivyosepa na kijiji Mbagala kwenye tuzo za maalum za vijana

Video: Hivi ndivyo UVCCM walivyosepa na kijiji Mbagala kwenye tuzo za maalum za vijana

Wakuu,

Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha.

Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwemyekiti wa UVCCM

View attachment 3181906
Kawaida lakini nyomi ni kubwa.

Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
Mimi hata msihangaike Kuni tag mambo ya CCM Kwa sababu sio mwanachama Bali shabiki wa Samia.

Hata hivyo Wapinzani Huwa wanajijaza upepo na mambo ya mitandaoni wakati 95% ya Wananchi wanatumia vitochi.
 
mwanza ndo balaa ngosha wote ni uvccm wanadhani watakuna kula teuzi kizembe

ccm ni system iNa wenyew
 
CCM tupo wengi Sana Mamilioni kwa Mamilioni.Naipenda Sana CCM na hata watu wanafahamu kuwa mimi ni CCM kindakindaki. Damu yangu yenyewe ni CCM tupu.
 
Mtu yoyote anaenda kupigwa jua la daslam hii kisa mwanasiasa, kisa msanii, kisa sijui kiongozi wa kiroho, sijui simba na yanga etc, ujue huyo hana AKILI TIMAMU

Kama kungekuwa na kifaa cha kupima akili waliopo hapo 99% "akili zao hazina akili"
 
Back
Top Bottom