Mimi hata msihangaike Kuni tag mambo ya CCM Kwa sababu sio mwanachama Bali shabiki wa Samia.Wakuu,
Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha.
Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwemyekiti wa UVCCM
View attachment 3181906
Kawaida lakini nyomi ni kubwa.
Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
CCM hoyeeee!!!CCM hainaga mpinzani 🐼