Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Vetting huangalia historia na hutumika kutabiri tu kuwa huyu atatufaa na blaa blaa nyingine ila haijui future itakuwaje. Ndio maana watu hufanyiwa vetting ila baada ya madaraka watu hugeuka.
kama kawaida Majungu majungu na fitina ndio tabia ya watanzania walio wengi, hivi hii tabia itakoma lini?View attachment 1653914
Rais John Pombe Magufuli pamoja na kuwa ni aggressive na mkali, lakini hatujawahi kumwona akishika kiboko kucharaza viboko watu hadharani...!!
Rais John Pombe Magufuli pamoja na kwamba hapendi wahalifu na matumizi mabaya ya rasrimali za nchi ikiwemo fedha, lakini hajawahi kuamuru wahujumu uchumi, watakatishaji fedha ama wezi wa mali ya umma wapigwe risasi ama viboko hadharani....
Rais John Pombe Magufuli, huponda na kufokafoka kwa maneno makali na ya kuudhi (sometimes) lakini huamuru uchunguzi kufanyika na hatua za kawaida za kikazi na kisheria kutendeka...
Huyu DC yeye ni nani hasa hata afanye ujinga kama huu? Kwa kweli simuelewi na sijui kama nitamwelewa...!
View attachment 1653943
HAPA JAMAA ANATENDA UJINGA, ANATOA HUKUMU...
Polisi wangekuwa na mtazamo na akili kama za huyu DC, basi mpaka sasa kusingekuwa watu magerezani maana wangekuwa wanahukumiwa papo hapo kwenye tukio...
Jamii hususani watoto wajifunze nini toka kwa kiongozi kama DC huyu anayejitetea kwa ujinga wa matendo yake?....
Je, jamii ijifunze na kuona kuwa kumbe ni sawa watu kujichukulia sheria mkononi kwa wanaowadhania ni "wahalifu" ama "wakosaji" kama alivyofanya DC?..
Kama mtazamo wa DC ndivyo ulivyo, kumbe basi, hakuna haja ya kuwa na mahakama Tanzania..
Baada ya kuona uhalifu huo, kila mtu angetarajia kumuona DC akiamuru watu hao anaodhani ni wahalifu wakipelekwa mahakamani, lakini looh, DC akadhani yuko juu ya sheria na kujiamulia mwenyewe adhabu ya kuwapa....!
Sijui ni kwanini huyu DC mpaka sasa bado yuko ofisini maana amekosa sifa za kuwa kiongozi ktk nafasi hiyo asilani...!!
Oya wamekufanyaje mkuu?Jiulize kwa nini Raisi Magufuli hajatengua uteuzi wake ? Mbona wengine hata kama ni Jumapili au sikukuu utasikia katenguliwa mara moja, maana yake ni kwamba Raisi wa nchi mwenyewe angefanya hivyo hivyo, huyo DC mnamuonea tu lkn aliyewachapa viboko hao Watanzania ni Raisi Magufuli mwenyewe, so sad, unapokuwa na Raisi wa nchi ambaye kwa kawaida anapaswa kulinda na kuwatetea Wananchi yeye ndiye wa kwanza kuonea, kudhalilisha mtu mweusi, Raisi Magufuli atashindwa na hatofanikiwa kama anaonea Watanzania, Mungu atamlaani na kumuadhibu.
Mahakama peke yake ndiyo inayopaswa kuhukumu, kama hao Watanzania walifanya makosa kuna polisi, wangewakamata na kuwafikisha Mahakamani na hukumu kutolewa kwa mujibu wa Sheria zetu, ...
Sijui kama hata mwenyewe umeelewa ulichoandika.kama kawaida Majungu majungu na fitina ndio tabia ya watanzania walio wengi, hivi hii tabia itakoma lini?
nakumbuka Mhe. Rais Mstaafu Kikwete aliwahi kukiri hadharani kuwa ktk utawala wake aliwahi kumfukuza kiongozi mmoja lkn badae alibaini yalikuwa majungu!!!
Majungu na Fitina yasipewe nafasi na viongozi wenye mamlaka maaana mnaweza kuonea watu wasio na hatia. wapiga majungu ni watu wazoefu sana
Vetting ni mchakato mrefu wenye kuzingatia vigezo vingi. Mnaweza kuegemea tu kwenye kigezo kimojaVetting ingefanyika taaluma ya uongozi isingedhalilika
Nchini argentina Ukiwa na moja ya sifa hizi tegemea teuzi anytime
.Kabila pendwa
.Rangi pendwa
.Kuwadhalilisha, kuwashughulikia wapinzani
.Kusifu na kuabudu
. Kukubali kupigwa chapa 666
. Kuisujudia Sanamu.
Huyo bwana ushahidi ingia youtube akiwa Iringa alitishia kuwauwa wapinzani akapewa teuzi.
Ila Kama sikosei boss wewe hapo kabla ulikuwa mtu wa kumsifia Magufuli Kila afanyacho...imekuwaje tena hapa unamuombea mabaya!?!!?Jiulize kwa nini Raisi Magufuli hajatengua uteuzi wake ? Mbona wengine hata kama ni Jumapili au sikukuu utasikia katenguliwa mara moja, maana yake ni kwamba Raisi wa nchi mwenyewe angefanya hivyo hivyo, huyo DC mnamuonea tu lkn aliyewachapa viboko hao Watanzania ni Raisi Magufuli mwenyewe, so sad, unapokuwa na Raisi wa nchi ambaye kwa kawaida anapaswa kulinda na kuwatetea Wananchi yeye ndiye wa kwanza kuonea, kudhalilisha mtu mweusi, Raisi Magufuli atashindwa na hatofanikiwa kama anaonea Watanzania, Mungu atamlaani na kumuadhibu.
Mahakama peke yake ndiyo inayopaswa kuhukumu, kama hao Watanzania walifanya makosa kuna polisi, wangewakamata na kuwafikisha Mahakamani na hukumu kutolewa kwa mujibu wa Sheria zetu, ...
sasa hao wanaonunua chuma chakavu, watanunuaje kiti cha chuma kwa sh 500Na wewe fanya tu, wengine wataona umefanya ujinga na utakula hamsa sita mbele ya mumeo au mkeo ama watoto wako...!!
Na wewe fanya tu, wengine wataona umefanya ujinga na utakula mboko za waya mbele ya mumeo au mkeo ama watoto wako au dem wako ama baba yako au mama yako!!!!Nimemuelewa sana kuna watu wanakera sana chapa tu, walichofanya hao jamaa ni ujinga unaokera mno.
Tena angewatandika na wire ndio ingefaa zaidi badala ya fimbo.
Yani kenge mmoja aje anichape viboko namtoboa macho ndio atajua hajui.Nimemuelewa sana kuna watu wanakera sana chapa tu, walichofanya hao jamaa ni ujinga unaokera mno.
Tena angewatandika na wire ndio ingefaa zaidi badala ya fimbo.
Kuunga juhudiHii chapa 666 wanapigwaje? [emoji15]
Muhimu kuliko yote ni tabia binafsiVetting ni mchakato mrefu wenye kuzingatia vigezo vingi. Mnaweza kuegemea tu kwenye kigezo kimoja
Kwa hiyo Mkuu tuendelee kukaa kimya kwakuwa siyo sisi tuliocharazwa viboko hadi pale zamu yetu itakapowadia ndiyo tupige kelele siyo??Nchini argentina Ukiwa na moja ya sifa hizi tegemea teuzi anytime
.Kabila pendwa
.Rangi pendwa
.Kuwadhalilisha, kuwashughulikia wapinzani
.Kusifu na kuabudu
. Kukubali kupigwa chapa 666
. Kuisujudia Sanamu.
Huyo bwana ushahidi ingia youtube akiwa Iringa alitishia kuwauwa wapinzani akapewa teuzi.
stroke , tukiwaambia CCM imeshindwa kila kitu, mnatuambia sisi sio wazalendo.Kama swala ni wizi hiyo ni kazi ya polisi sasa sijui DC katoka wapi na mambo hayo ambayo yalipaswa kushughulikiwa na Polisi.
Watu wengine wanakipa shida Chama kujieleza mbele za wananchi.