Kumtetea mkuu wa wilaya mpumbavu na mjinga kama yule ni kujipaka mavi zaidi, sheria na taratibu zilisha wekwa namna ya kushuhulika na wahalifu kwa kosa lolote lile
Hakuna utaratibu wa kuchapa viboko wahalifu hadharani mbele ya camera kama alivyo fanya Dc mpuuzi huyo
Kila mtu akisema afanye hivyo nadhani wenye hasira za kuua wangesha ua wengi sana ndio maana zikawekwa sheria
Ndio maana ata kwenye murder case hukumu zinatofautiana; kuna 1 degree murder, 2 degree murder and maslaughter. Na adhabu uwa tofauti either kunyongwa, kwenda jela maisha au kutumikia miaka kadhaa na kuachiwa.
Unaangukia wapi kwenye hukumu depends on the evidence of ‘malice aforethought’ on your actions. In others words mahakama pia inatambua sometimes ppl react abruptly when there is provocation that can be used as a ‘mitigation factor’ to reduce the punishment.
Tukumbuke sehemu kubwa ya criminal laws misingi yake ni morality vitu ambavyo jamii atuvikubali tumevirasimisha tu kwa sheria.
Kwa maana hiyo natambua kuna sheria Ila upuuzi wa wahusika unakera sana achilia tu wizi kuna swala la ‘menace’ corruption of the youth kwa kuwashirikisha watoto wadogo kuhujumu shule yao.
Ndio maana nimeelewa sana frustration yake mkuu wa wilaya mpaka kuwachapa viboko.
Binafsi ukiniuliza nadhani it’s just a petty crime where harsh punishment is not necessary. However the morality of it all is just too wrong.
Huku watu wanaangaika usiku na mchana kutatua tatizo la ukosefu wa madawati kila siku tunatembeza picha mitandaoni serikali aijali. Nchi yetu ni maskini kutatua ilo tatizo large chunk of financial resources za halmashauri zinapelekwa huko at the opportunity cost of other important services za jamii.
Halafu wewe unajifikiria mwenyewe tu ujali tena unashirikisha na watoto wadogo kutumiza agenda zako, usually I don’t support watu kujichukulia sheria mkononi naweza elewa desperation ya kibaka kama teja na watu wanaowachoma moto kuchukuliwa hatua.
Lakini hawa wa madawati I can also understand frustration ya mkuu wa wilaya na adhabu aliyoitoa sakata lote ukisikiliza given the government is trying hard to eliminate the problem; kwakweli wachapwe tu mbele ya camera.
Hii biashara ya chuma chakavu inaanza kuwa tatizo serikali ianze kufikiria kutoa adhabu kwa watu wanaonunua mali za wizi, kama ilo alifanyiki kwa sasa.