Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mkuu hawa jamaa hawajamuogopa yule Mpuuzi bali waliheshimu Mamlaka.
Sio waliheshimu mamlaka, bali waliogopa mamlaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hawa jamaa hawajamuogopa yule Mpuuzi bali waliheshimu Mamlaka.
Una uhakika kuwa hao wazazi wamefanya hayo bila vitisho? Hili jambo hulijui vizuri. Ni kweli ni Kosa kununua vitu vya wizi, lakini utekelezaji wa adhabu ni wa kujichukulia sheria mkononi. Ni sawa na umkamate mwizi kisha umkate mkono kwakuwa una hasira. Hata ndugu zake wakikubali kulipa mali yako, haimaanishi hatua uliyojichukulia mkononi ya kumkamata mkono ni sahihi, kwakuwa hata ndugu zake wameona ndugu yao kakosea.Wazazi wa watoto walioshiriki huo wizi ndugu na jamaa bila ya kuombwa wameenda wenyewe shule na ofisi za serikali kuomba msamaha kwa matendo waliyofanya watoto wao.
Wazazi hao hao kabla ata awajaambiwa wameamua kuanzisha harambee kurudisha ivyo viti na madawati; mtu yeyote timamu akisikia kilichofanyika anaweza elewa hatua za mkuu wa wilaya.
Watu wamezuiwa likizo kwa sababu ya kutatua hizo changamoto za madarasa, viti na madawati; halafu watu wanaenda iba kisa chuma chakavu ni upuuzi uliopindukia.
View attachment 1653914
Rais John Pombe Magufuli pamoja na kuwa ni aggressive na mkali, lakini hatujawahi kumwona akishika kiboko kucharaza viboko watu hadharani...!!
Rais John Pombe Magufuli pamoja na kwamba hapendi wahalifu na matumizi mabaya ya rasrimali za nchi ikiwemo fedha, lakini hajawahi kuamuru wahujumu uchumi, watakatishaji fedha ama wezi wa mali ya umma wapigwe risasi ama viboko hadharani....
Rais John Pombe Magufuli, huponda na kufokafoka kwa maneno makali na ya kuudhi (sometimes) lakini huamuru uchunguzi kufanyika na hatua za kawaida za kikazi na kisheria kutendeka...
Huyu DC yeye ni nani hasa hata afanye ujinga kama huu? Kwa kweli simuelewi na sijui kama nitamwelewa...!
View attachment 1653943
HAPA JAMAA ANATENDA UJINGA, ANATOA HUKUMU...
Polisi wangekuwa na mtazamo na akili kama za huyu DC, basi mpaka sasa kusingekuwa watu magerezani maana wangekuwa wanahukumiwa papo hapo kwenye tukio...
Jamii hususani watoto wajifunze nini toka kwa kiongozi kama DC huyu anayejitetea kwa ujinga wa matendo yake?....
Je, jamii ijifunze na kuona kuwa kumbe ni sawa watu kujichukulia sheria mkononi kwa wanaowadhania ni "wahalifu" ama "wakosaji" kama alivyofanya DC?..
Kama mtazamo wa DC ndivyo ulivyo, kumbe basi, hakuna haja ya kuwa na mahakama Tanzania..
Baada ya kuona uhalifu huo, kila mtu angetarajia kumuona DC akiamuru watu hao anaodhani ni wahalifu wakipelekwa mahakamani, lakini looh, DC akadhani yuko juu ya sheria na kujiamulia mwenyewe adhabu ya kuwapa....!
Sijui ni kwanini huyu DC mpaka sasa bado yuko ofisini maana amekosa sifa za kuwa kiongozi ktk nafasi hiyo asilani...!!
Kiufupi hupendi kuona kuona DC huyo akila mema ya nchi, pole sana.
Hao jamaa kama ni wezi wa mali za serikali wanajua bakora ni sehemu ndogo sana ya adhabu wanayostahili boss.Chunguza lugha yangu kuanzia post ya kwanza ‘I can understand his frustration’ mi mwenyewe uwezi kuniambia nilale chini unitandike nikubali.
Ila ata hao jamaa wanajua walichofanya kinastahili bakora.
Juzi tumeona uchaguzi ukinajisiwa, hao maDC ni sehemu ya hiyo najisi ya kimfumo kwenye uchaguzi huo. Je tuchukue hatua za kuwachapa? Mbona wao wanasisitiza kama haki haijatendeka watu waende mahakamani, ni kwanini walioona wizi wa kura hawajawachapa waliofanya hivyo? Usitetee ulevi wa madaraka.
Tunajua Lissu na wafuasi wake ni watu wa ukoo wa Trump na Savimbi. Mtaendelea kutoa madai yasiyothibitika ya kudhulumiwa ushindi, mpaka kipindi kingine cha uchaguzi kifike na kuwalazimisha kubadili mjadala!
Kinastahili bakora kwa maagizo ya mahakama, na sio kwa kiburi cha madaraka.
Hao jamaa kama ni wezi wa mali za serikali wanajua bakora ni sehemu ndogo sana ya adhabu wanayostahili boss.
Hao ndio watanzania (and Africans in general) kwenye ku deal na community issues. Wote tuna tolerance level zetu.
Kuna picha moja nikiweka hapa ya binti mdogo wa kike umri auzidi miaka 5 nyuma ya gauni lake kuna damu halafu kama anatoka store ya kijana mmoja ambae anaonekana kwenye hiyo picha kwa nyuma akiwa amekaa mlangoni. Kwa umri wake yule kijana kama hao wezi wa madawati kajishika kujishuka uume akijipiga self huku kale katoto kanaondoka. Sijui ni ya nchi gani ile picha, ila ni Africa.
Nina uhakika hakuna wavulana wawili wenye umri wa kuanzia 18-20 watapita waone ile situation wasubiri polisi kabla ya kumva jamaa. Ikija kwa wababa wazazi ata ingekuwa waziri na katibu mkuu wapo kwenye matembezi yao ya kawaida tu kupata fresh air wakaona ile situation wangemrukia yule kijana pale pale na kumtwanga.
We Africans especially men all of us have limitations to what to what we can tolerate before taking immediate actions on social issues, tunatofautiana on the levels of tolerance tu.
Ndio maana nimemuelewa huyo DC in his perspective. Ukiangalia ile video wale vijana walikuwa wakipewa nafasi ya kujitetea wasaidizi wa mkuu wa wilaya ndio walikuwa wanatoa incriminating evidence ya uhusika wao ili wachapwe. It tells you how annoyed they were too.
More like provocation, ile video kama ni mahakamani sio mkuu wa wilaya tu mwenye makosa isipokuwa na wasaidizi wake kama wanne.Mkuu hapa naona unalazimisha kuhalalisha kuchukua sheria mkononi kwa kisingizio cha hasira.
More like provocation, ile video kama ni mahakamani sio mkuu wa wilaya tu mwenye makosa isipokuwa na wasaidizi wake kama wanne.
Kwenye kile chumba wasaidizi wake wote pia kama ni makosa they could be charged with ‘aiding and abetting’ the crime, maana wanaonekana ku encourage mkuu wa wilaya kuwachapa kwa kutoa incriminating evidence vijana wakitaka kujinasua.
Inaonyesha ni namna gani lile tendo lilivyo morally wrong.
Nashindwa kuelewa kwanini watu wanashindwa kuona kilichopelekea hatua za mkuu wa wilaya kuwachapa kuna vitu avivumiliki.
I can understand the frustration akiwa kama kiongozi aliepewa majukumu yakuhakikisha anatatua tatizo la changamoto za madawati ndani ya wilaya.Mkuu adhabu ile ni tendo la kihalifu, lakini tunaishi kwenye jamii ambayo kiongozi akifanya kosa lolote labda rais amchukulie hatua, lakini rais akikaa kimya linaonekana ni halali na linapata watetezi kama ww.
I can understand the frustration akiwa kama kiongozi aliepewa majukumu yakuhakikisha anatatua tatizo la changamoto za madawati ndani ya wilaya.
That far I support, inaonyesha anajali; halafu sio pekee yake mbona hao wa pembeni waliokuwa wakitoa ushahidi ili hao vijana wachapwe mnawaacha bila ya hao jamaa hakuna mtu angezea kichapo.
Mchana mwema mkuu.
Kama ni kusema tu na mimi kesho naita press niseme ntamrudisha Lissu halafu nikishateuliwa sifanyiHuyu aliteuliwa baada ya kusema atamuua Zitto , kauli ile inaelekea ilimfurahisha sana Mamlaka ya Uteuzi
Madai yetu ni genuine, ila tutaenda kuyadhibitisha wapi? Wanaondesha dhuluma ndio wanaopangia mahakama itoe vipi hukumu.
Hamna ts a shame...!!Nimemuelewa sana kuna watu wanakera sana chapa tu, walichofanya hao jamaa ni ujinga unaokera mno.
Tena angewatandika na wire ndio ingefaa zaidi badala ya fimbo.