Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hiyo chorus yenu inafahamika na kila mtu. Mkishinda kesi, mahakama imetenda haki; mkishindwa, mahakama haiko huru!
Huwa hatushangilii tukishinda kesi, bali huwa tunashangaa mahakama kuthubutu kutenda haki.Hiyo chorus yenu inafahamika na kila mtu. Mkishinda kesi, mahakama imetenda haki; mkishindwa, mahakama haiko huru!