Aiseeee Sina mbavu ,,,we kenge weeee3eeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilitakiwa wawe jikoni wanapika kachori na urojo......
Kwani wewe huoni mtu fulani anafanana nao akitoka nje ya script? Angekuwepo huko pangenoga zaidiWakuu,
Nimekutana na clip hii ya Wabunge kutoka Zanzibar wakiwa wanatoa inayoitwa "michango" yao bungeni.
Kodi za wananchi zinaenda bure kabisa katika nchi hii. Yaani inaonekana kama hawako serious kabisa
Alafu huyu si ndo aliita wananchi "kenge"? Au kuna mwingine?
Unaweza ukasomesha darasa moja miaka 10 na asielewe chochoteWazazi tusomeshe watoto hasa wa kike.
Debe leupe lile,Kwani wewe huoni mtu fulani anafanana nao akitoka nje ya script? Angekuwepo huko pangenoga zaidi
Wakuu,
Nimekutana na clip hii ya Wabunge kutoka Zanzibar wakiwa wanatoa inayoitwa "michango" yao bungeni.
Kodi za wananchi zinaenda bure kabisa katika nchi hii. Yaani inaonekana kama hawako serious kabisa
Alafu huyu si ndo aliita wananchi "kenge"? Au kuna mwingine?
Mkianza kubadilikwa mnaanza kulia ,nyie itabidi mpigwa kabisa kule visiwani.Siyo wabunge tu! Hao jamaa karibia wote ni vilaza. Na ushahidi wote mnao. Hivyo sitaki maswali.
Alitegemea kuona wamevaa masuti kama maiti ya kukristoShida iko wapi?