Video: Hivi Wabunge wa Zanzibar wana shida gani? Nini hiki?

Video: Hivi Wabunge wa Zanzibar wana shida gani? Nini hiki?

Hao ndiyo think tanks wa nchi, hata huyo waliyetuazima alianzia humohumo
Anajivunia sana kazi alizozifanya enzi hizo, na kuteuliwa kuwa waziri wa serikali ya Mapinduzi!

Hata sielewi ni kazi gani iliyompa sifa hizo na kupanda harakaharaka hadi alipofikia sasa!

Huenda kuna kazi nyingine maalum aliyokuwa akiifanya zaidi ya ile iliyofahamika kwa umma.
 
Kahaba kama huyu bunge likivunjwa naye anakunja 300m+ za kodi za Watanganyika. Siku huu muungano ukivunjika nitafanya sherehe kubwa sana.
Hivi Mwalimu Nyerere alijuwa kuwa tutafikia ngazi ya aina hii kwenye muungano wetu huu?
Ni swali tu mkuu, 'CHIEF PRIEST', sitafuti jibu.
 
Wakuu,

Nimekutana na clip hii ya Wabunge kutoka Zanzibar wakiwa wanatoa inayoitwa "michango" yao bungeni.

Kodi za wananchi zinaenda bure kabisa katika nchi hii. Yaani inaonekana kama hawako serious kabisa

Alafu huyu si ndo aliita wananchi "kenge"? Au kuna mwingine?

Ndiyo ongea yao hiyo unataka waongee kama makurumbembe yeti huku bara?
 
Ili uwe rais ni lazima uwe na degree ya chuo kinachotambulika serikali? Nisaidieni Mambo haya nayajua kwa mbali Sana.
 
Wakuu,

Nimekutana na clip hii ya Wabunge kutoka Zanzibar wakiwa wanatoa inayoitwa "michango" yao bungeni.

Kodi za wananchi zinaenda bure kabisa katika nchi hii. Yaani inaonekana kama hawako serious kabisa

Alafu huyu si ndo aliita wananchi "kenge"? Au kuna mwingine?


Jamani tusiache kwenda shule. Inasadia sana kwenye mambo mengi. Tupende kusoma na kujisomea na kuelimika. Ina manufaa binafsi na manufaa kwa jamii nzima
 
Kwa Tanzania, Kati ya watu walioathiriwa sana na stori za mwamedi, Zanzibar ni wahanga namba moya.
 
Kwani hao na wahuku ( king musukuma ) wanatofautiana nn
 
Back
Top Bottom