Video: Hivi Wabunge wa Zanzibar wana shida gani? Nini hiki?

Na ndo mmoja ndiyo Rahisi wa Tanganyika, lahaula😂
 
Kodi zetu Watanganyika zinatumika kiboya sana.
 
Hao ndio walivyo akilizao ni ndogo mno, Si unamuona chifu wa mchongo anachotufanyia?
 
Mkija kubaguliwa mnaanza kulalamika ...wabara ni wabaguzi.
 
Kwani hii ni Baraza au ni comedy ya baraza!!??
 
kumbuka rais wako anatoka huko na kasoma huko. una mwanasheria?
 
Kahaba kama huyu bunge likivunjwa naye anakunja 300m+ za kodi za Watanganyika. Siku huu muungano ukivunjika nitafanya sherehe kubwa sana.
 
KUmbe wale wala urojo hata sipotezi MB zangu nimesoma tu comment naona waday wanasema yao.
 
Mtu anaipenda nchi yake, tatizo lipo wapi hapo!

Watu hawa inabidi kuwapenda tu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…