Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake.
Alafu kwanini ajari nyingi za bodaboda huwa ni Arusha? Au kwasababu ya bangi zao?
Alafu kwanini ajari nyingi za bodaboda huwa ni Arusha? Au kwasababu ya bangi zao?