Video: Hizi ndio akili za bodaboda

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake.

Alafu kwanini ajari nyingi za bodaboda huwa ni Arusha? Au kwasababu ya bangi zao?

Your browser is not able to display this video.
 
Arusha moja hii Chali anguπŸ˜‚
 
Mengine ni upuuzi hatuna mb za kupoteza kwan kuna jipya basiii? Nani hajui akili za boda? wewe ndio mnyonge wa kuwaza na kuleta uzi humu. Poor Brain
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Vijana wa boda au machizi bolt akili zao hovyo sana..
Ni kweli mkuu hakuna jipya kwa sasa kuhusu hao vijana
 
mwenye mb za kutosha afungue atuambie au nasubiria comments hapo chini Poor Brain
Jamaa kamfumua ubongo huyo Boda alieingia chini ya uvungu wa Gari yake na Boda yake kufumua mbele ya Gari lake Ila cha kwanza ni kusema 'umeniharibia Gari yangu' kwa sauti ya kichaga hajali km Boda amekufa au bado yupo Hai maana damu zimeruka vibaya sana Lami imechafuka
 
Ilikuaje mpaka akaenda kujigonga kwenye gari la pili?
 
Duuuh ndo nimeiona mana ilikua inakataa...
Boda alikua ana overtake aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…