Video: Hizi ndio show za kuhudhuria mwanaume hata ukitoa 100k nafsi haitakudai

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Your browser is not able to display this video.

Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu.

Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake.

Show hizi hapa unapenda minono sawa vimbaumbau sawa size ya kati sawa vile utakavyo.ukitoka hapo hudaiwi jehanamu na duniani.
 
Sijaiona video vizuri maana huku nilipo mtandao haushiki mpaka kupanda kwenye mti juu

Naomba kuuliza, hizo show ndo zile wanazocheza wanawake wakiwa uchi na kama ni hizo hata mimi nipo tayari kulipia
 
Fanyeni kazi nyie acheni kupenda na kuendekeza anasa wakati hata maji ya kuoga tu hamna.

adriz de mbusii
 
Ukivaa kama hivyo tunaita kuenzi utamaduni,
Ila atokee mwingine amevaa Sketi fupi na sidiria peke yake tunasema ni utovu wa maadili.

Africa is not for beginners.
Kama hizi, zilikuwepo hapo mkuu?
 
Mnapata wapi nguvu za hayo na hii bei ya mafuta ilivopanda. Deisalam watu mna vituko kweli.
 
Part muhimu sana ya kuwa mtu mzima ni kujifunza kuongelea vizuri preferences zako bila kupondea preference za watu wengine. Unachokiona wewe kizuri, mwingine anaweza akakiona kibaya na akachagua kuheshimu chaguo zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…