Video hizi zinafikirisha sana! Hivi ni kwanini Egypt na nchi nyingine 57 za Kiarabu hazitaki kuchukua wakimbizi kutoka Palestina?

Kweli kaka hao jamaa ukiwapa hifadhi wanaleta machafuko kwenye nchi yako na walishafanya ivo syria , lebanon na misri kwahio ni tabia yao ndio inafanya kiwarambe sasa hivi
Nchi zinazojielewa ambazo hazitaki mambo ya kijinga kama Egypt saudi Arabia Morocco Dubai Qatar haziwezi ruhusu hao magaidi kuingia nchini mwao
 
Nchi zinazojielewa ambazo hazitaki mambo ya kijinga kama Egypt saudi Arabia Morocco Dubai Qatar haziwezi ruhusu hao magaidi kuingia nchini mwao
Walishajaribu kwa imani kama waislamu wenzao cha ajabu wema wao ulilipwa kwa kuzaliwa kwa makundi ya kigaidi
 
Walishajaribu kwa imani kama waislamu wenzao cha ajabu wema wao ulilipwa kwa kuzaliwa kwa makundi ya kigaidi
Hao sio wa kukaribisha nashangaa Kenya wanawakaribisha hao wasomali Kenya subiri wanachokitaka watakipata mda sio mrefu maana naona Kenya Sasa Hadi Kuna kabila la somalian
 
Na ndio israel wanachokitaka, siku wapalestina wakijichanganya wakakimbia ardhi yao ndio itakua mwisho wa kuishi maeneo hayo. Na ndio maana nchi za kiarabu hazitaki kuuingia huo mtego
 
Wakiingia huko wanakua brainwashed na wale wataka jihad.

Sijui inatumika mbinu gani kuwahadaa kua kila pahala inabidi paongozwe na Sharia.
 
Sasa wee Football unaelezwa ukweli lakini hutaki ! Basi sawa wewe una msimamo wako endelea nao lakini sio hali halisi kama unavodhani.Na kwa taarifa yako hao si magaidi , hao ni wapigania uhuru ! Tafsiri potofu ya ugaidi unayo wewe..
Wao wanatafuta haki yao ! Haijalishi wanaipataje kama ni kwa kuhubiri kama amabavo wamefanya muda mrefu bila mafanikio au kwa nch ya upanga , wakati ndo huamua.
 
Sasa waondoke nchi ya wamuachie nani ?! Magaidi wa kiyahudi
 
Wakimbizi wa Yemen na Syria mbona hawakimbilii nchi za kiarabu? Au nao bado Israel wanataka Ardhi ya Yemen na Syria?
Waarabu hawajitambui,Wana utajiri mkubwa wa mafuta ila hawana akili na Wana roho mbaya,wenyewe Kwa wenyewe wanauana huku wa sunni kule washia,,Angalia kilichotokea IRAQ na LIBYA. Hata siku Moja hawajawahi kushirikiana Kwa pamoja km mataifa ya kiarabu,wanasalitiana sana,kazi kufuga majini
 
Wana nchi yao sasa wawapokee wanini? wanatakiwa kurudi kwao kupambana na IDF
 
Umemaliza hapa kila kitu
 
Ukitaka kujua why nchi zingine hazitaki Wapalestina, nenda waulize Lebanoni, kama kawaida ya Wakristo kujifanya wana huruma, Lebanon nchi yenye Wakristo wengi, ilipokea wakimbizi wengi wa Wapalestina years back, wamezaana and now wamekua MWIBA mkali kwa nchi yao, wametengeneza kikundi kinaitwa Hezbollah na kinaisumbua hadi serikali yao, nchi zingine hazitaki hayo matatizo
 
Hata huku Tanzania Kuna watu wanaitwa wapalestina.
Hakuna anaye wataka.
Hata Ayatollah mwenyewe anawapa silaha tu lkn hawataki.
 
Wakifunguliwa asilimia 90 ya Wapalestina watakimbia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…