Video hizi zinafikirisha sana! Hivi ni kwanini Egypt na nchi nyingine 57 za Kiarabu hazitaki kuchukua wakimbizi kutoka Palestina?

Video hizi zinafikirisha sana! Hivi ni kwanini Egypt na nchi nyingine 57 za Kiarabu hazitaki kuchukua wakimbizi kutoka Palestina?

Kweli kaka hao jamaa ukiwapa hifadhi wanaleta machafuko kwenye nchi yako na walishafanya ivo syria , lebanon na misri kwahio ni tabia yao ndio inafanya kiwarambe sasa hivi
Nchi zinazojielewa ambazo hazitaki mambo ya kijinga kama Egypt saudi Arabia Morocco Dubai Qatar haziwezi ruhusu hao magaidi kuingia nchini mwao
 
Nchi zinazojielewa ambazo hazitaki mambo ya kijinga kama Egypt saudi Arabia Morocco Dubai Qatar haziwezi ruhusu hao magaidi kuingia nchini mwao
Walishajaribu kwa imani kama waislamu wenzao cha ajabu wema wao ulilipwa kwa kuzaliwa kwa makundi ya kigaidi
 
Walishajaribu kwa imani kama waislamu wenzao cha ajabu wema wao ulilipwa kwa kuzaliwa kwa makundi ya kigaidi
Hao sio wa kukaribisha nashangaa Kenya wanawakaribisha hao wasomali Kenya subiri wanachokitaka watakipata mda sio mrefu maana naona Kenya Sasa Hadi Kuna kabila la somalian
 
Na ndio israel wanachokitaka, siku wapalestina wakijichanganya wakakimbia ardhi yao ndio itakua mwisho wa kuishi maeneo hayo. Na ndio maana nchi za kiarabu hazitaki kuuingia huo mtego
 
Wakiingia huko wanakua brainwashed na wale wataka jihad.

Sijui inatumika mbinu gani kuwahadaa kua kila pahala inabidi paongozwe na Sharia.
 
Sasa wee Football unaelezwa ukweli lakini hutaki ! Basi sawa wewe una msimamo wako endelea nao lakini sio hali halisi kama unavodhani.Na kwa taarifa yako hao si magaidi , hao ni wapigania uhuru ! Tafsiri potofu ya ugaidi unayo wewe..
Wao wanatafuta haki yao ! Haijalishi wanaipataje kama ni kwa kuhubiri kama amabavo wamefanya muda mrefu bila mafanikio au kwa nch ya upanga , wakati ndo huamua.
 
Sasa waondoke nchi ya wamuachie nani ?! Magaidi wa kiyahudi
 
Wakimbizi wa Yemen na Syria mbona hawakimbilii nchi za kiarabu? Au nao bado Israel wanataka Ardhi ya Yemen na Syria?
Waarabu hawajitambui,Wana utajiri mkubwa wa mafuta ila hawana akili na Wana roho mbaya,wenyewe Kwa wenyewe wanauana huku wa sunni kule washia,,Angalia kilichotokea IRAQ na LIBYA. Hata siku Moja hawajawahi kushirikiana Kwa pamoja km mataifa ya kiarabu,wanasalitiana sana,kazi kufuga majini
 
Wakuu,

Kuna video za wahamiaji na vijana kutoka Palestina nimekutana nazo mtandaoni leo zimenipa maswali sana kuhusu hatma ya mgogoro huo unaendelea huko Middle East.

Kuna umbali wa takriban Km 12.5 kutoka Gaza mpaka kufika Egypt. Egypt na Palestina ni nchi zilizo karibu sana ni kama Kenya na Tanzania. Lakini kwanini Egypt haichukui wakimbizi kutoka Gaza na Palestina?

Kama mtakavyoona kwenye video, Egypt imejenga ukuta mkubwa sana wenye nyaya za umeme ambazo zinazuia wakimbizi kutoka Palestina kuingia kwenye nchi hiyo. Swali ni kwanini?

Na hiyo sio kwa Egypt tu, hata nchi nyingi za Kiarabu hazichukui refugees kutoka Palestina.

Kwanini hawawataki hawa Wapalestina. Wana shinda gani?

Wana nchi yao sasa wawapokee wanini? wanatakiwa kurudi kwao kupambana na IDF
 
Bwana mkubwa Mindyou nataka nikwambie kitu ukiweke akilini.
Israel wanampango wa kuwaondosha wapaelstina katika ardhi yao ili waichukue hiyo ardhii na kuweka makazi yao kama walivofanya maeneo mengine waliyopora ya wapelestina na ndo maana wakati huu wa vita wamekua wakiwafukuza GAZA mara kwa mara.Kwa akili yao walidhani EGYPT watawaruhusu wapelstina waelekee eneo la Sinai lakini EGYPT wamekataa ! Kwa sababu wanajua janja ya Isarel kuwafukuza wapalestina moja kwa moja kutoka katika ardhi yao ! Waarabu wanawahurumia sana wapelestina lakini kwa vile wanajua janja ya Israel nao wameamua kukaza kuhakikisha wapelestina wanapata nchi yao na huu ndo wakati muafaka na kama umesoma katika vyombo vya habari ni kuwa kuna nchi ytayari zimeshaanza kulitambua taifa la palestina ikiwemo Spain , Norway ,NK.
Israel hawataki kusikia kabisa taifa la wapalestina ! Sa hiyo ndio sababu kubwa unaona kama vile nchi za kiarabu hazitaki au hazina huruma kwa wapelestina wapelestina .
Umemaliza hapa kila kitu
 
Ukitaka kujua why nchi zingine hazitaki Wapalestina, nenda waulize Lebanoni, kama kawaida ya Wakristo kujifanya wana huruma, Lebanon nchi yenye Wakristo wengi, ilipokea wakimbizi wengi wa Wapalestina years back, wamezaana and now wamekua MWIBA mkali kwa nchi yao, wametengeneza kikundi kinaitwa Hezbollah na kinaisumbua hadi serikali yao, nchi zingine hazitaki hayo matatizo
 
Hata huku Tanzania Kuna watu wanaitwa wapalestina.
Hakuna anaye wataka.
Hata Ayatollah mwenyewe anawapa silaha tu lkn hawataki.
 
Wakuu,

Kuna video za wahamiaji na vijana kutoka Palestina nimekutana nazo mtandaoni leo zimenipa maswali sana kuhusu hatma ya mgogoro huo unaendelea huko Middle East.

Kuna umbali wa takriban Km 12.5 kutoka Gaza mpaka kufika Egypt. Egypt na Palestina ni nchi zilizo karibu sana ni kama Kenya na Tanzania. Lakini kwanini Egypt haichukui wakimbizi kutoka Gaza na Palestina?

Kama mtakavyoona kwenye video, Egypt imejenga ukuta mkubwa sana wenye nyaya za umeme ambazo zinazuia wakimbizi kutoka Palestina kuingia kwenye nchi hiyo. Swali ni kwanini?

Na hiyo sio kwa Egypt tu, hata nchi nyingi za Kiarabu hazichukui refugees kutoka Palestina.

Kwanini hawawataki hawa Wapalestina. Wana shinda gani?

Wakifunguliwa asilimia 90 ya Wapalestina watakimbia nchi
 
Back
Top Bottom