Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Shemeji, tuwe wamoja katika kulipigania taifa, right!video
Nunua simu ya kuelewekavideo
Wakati ulikuwa umejificha kwenye uvungu wa kitanda nyumbani kwa mume wa dada yako. 🤣Kama ulienda kwenye maandamano utakubaliana namimi kuwa mzuka ulikuwa wa ajabu mno.
Risasi hatukuzihofia tena
Wewe endelea kuwashwa. Unadhani mimi ni kama wewe?Wakati ulikuwa umejificha kwenye uvungu wa kitanda nyumbani kwa mume wa dada yako. 🤣
Kama hamkuniua nijue? Wewe ***** niniShithole ungetoka sasa hivi ungekuwa RIP
Wakati ulikuwa umejificha uvunguni kwa dada yako.Kama hamkuniua nijue? Wewe ***** nini
Fikiria tu, kama Samia angesema jamani watu hawanikubali niachie ngazi, haya yote yasingetokea. Ubinafsi unaacha majonzi makubwa sana. Kwani ukijiuzulu ukae Kizimkazi si awa tu, utaishi vizuri na Mungu wako atakuangaza. Sasa utakaa na hizi damu hadi siku ile unavyoenda kaburini, na hujui huko Lucifer kakutayarishia nini. Dhambi ya kuua haifutiki, ni dhambi ya MautiMazishi ya Mwananchi aliyeuawa kikatili kwa kupigwa risasi na polisi yamegeuka kuwa maandamano ya sauti na hisia.
Wananchi waimba “Hizo risasi hizo” wakieleza uchungu, hasira, na wito wa uwajibikaji kwa mamlaka.
Kama hamkuniua nijue? Wewe ***** nini
Fikiria tu, kama Samia angesema jamani watu hawanikubali niachie ngazi, haya yote yasingetokea. Ubinafsi unaacha majonzi makubwa sana. Kwani ukijiuzulu ukae Kizimkazi si awa tu, utaishi vizuri na Mungu wako atakuangaza. Sasa utakaa na hizi damu hadi siku ile unavyoenda kaburini, na hujui huko Lucifer kakutayarishia nini. Dhambi ya kuua haifutiki, ni dhambi ya Mauti
Angalia nchi nyingi zenye machafuko africa, most of them zina pattern ya kufanana. Uongoz umeingia tamaa unataka kubaki kwenye madarakaFikiria tu, kama Samia angesema jamani watu hawanikubali niachie ngazi, haya yote yasingetokea. Ubinafsi unaacha majonzi makubwa sana. Kwani ukijiuzulu ukae Kizimkazi si awa tu, utaishi vizuri na Mungu wako atakuangaza. Sasa utakaa na hizi damu hadi siku ile unavyoenda kaburini, na hujui huko Lucifer kakutayarishia nini. Dhambi ya kuua haifutiki, ni dhambi ya Mauti
Facts.Hii ngoma inazidi kupamba moto.
SAYNGAYWakati ulikuwa umejificha kwenye uvungu wa kitanda nyumbani kwa mume wa dada yako. 🤣