Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Neno "kikundi cha waasi" mara nyingi linatumika kama propaganda ya mamlaka kujisafisha. Sometimes hao wanaoitwa waasi ni wazalendo ambao wanapigana kuikomboa nchi yao na wanaostahili kuitwa waasi au magaidi ndio wapo madarakaniTaratibu ujinga na ulafi wa madaraka wa kikundi cha majizi na mafisadi unaenda kutengeneza makundi ya waasi.
Watanzania wapo motivated sana episode ijayo mpka nyie machawa mtachomwa kama hatua madhubuti isipochukuliwa.Mtoto akililia member mpe umkate
Naama watoto waso wasikivu wamekatwa na nyembe! Safi sana
Utapigwa risasi tu wewe halafu nyumbu wenzako waanze kulialia humu kama mnavyofanya sasa!! Watz mbona hawana kabisa na ujinga mliofanya.Watanzania wapo motivated sana episode ijayo mpka nyie machawa mtachomwa kama hatua madhubuti isipochukuliwa.
Abdullah ibn Umar reported: The Prophet, peace and blessings be upon him, said, “The first of matters to be judged between people (on the day of Judgment) will be cases of murder.”Mazishi ya Mwananchi aliyeuawa kikatili kwa kupigwa risasi na polisi yamegeuka kuwa maandamano ya sauti na hisia.
Wananchi waimba “Hizo risasi hizo” wakieleza uchungu, hasira, na wito wa uwajibikaji kwa mamlaka.
Kazi bado pevu...
Na Kwa spirit hii wakirudi barabarani Hali itakuwa mbaya zaidi Kuliko mwanzo...
Tuzidi kuomba maana kuna kila dalili ya maandamano kujirudia...
Wapo busy kuwatengenezea kuwasingizia kuwabambikia Heche kesi ya Uongo mkubwaTaratibu ujinga na ulafi wa madaraka wa kikundi cha majizi na mafisadi unaenda kutengeneza makundi ya waasi.
Vibaka hawawezi pindua nchi ya TZ wanachoweza ni kuiba mali watz na kupigwa risasi tu.Hii ngoma itarudi siku si nyingi, Mtawala akijichanganya kidogo tu kwa kauli zake za nyinywinywi baaas!
Mikoa ambayo haikuwa na vitisho mfano Kilimanjaro Tabora Lindi morogoro na Tanga hakukuwa na mandamano, lakini ile mikoa iliyojaa mikwara vitisho toka kwa Ma-RC na ma-DC ndiyo iliyoathirika na mandamanoFacts.
Wametembeza jeneza la wahanga wenzao kama misiba ya Palestina
Dunia ikiona inakumbuka Middle East na ukandamizaji.
Wanaimba kuhusu risasi... wanaanza kuzoea zoea lugha ya risasi na kuzikana kwa kupigwa risasi....
Kama ambavyo wameanza kuzoea kukusanyika nje na kutembea huku wakiimba na kulaani serikali
Kutumia jeshi la polisi au la Usalama kuwashuti au kuwatisha au makatibu wenezi wa vijana wa CCM na ma DC na RC hailengi kwenye utatuzi wa the underlying grievance- mambo wanayoyasemea.
Nashindwa kuelewa mpaka leo huo mzuka ulikujaje kwa watz au ni uchawi wa kutoa watu kafaraKama ulienda kwenye maandamano utakubaliana namimi kuwa mzuka ulikuwa wa ajabu mno.
Risasi hatukuzihofia tena
Inatakiwa zipatikane silaha walau hata moja kila mkoa kwa genzTaratibu ujinga na ulafi wa madaraka wa kikundi cha majizi na mafisadi unaenda kutengeneza makundi ya waasi.
Binadamu anapokua hana Cha kupoteza na mbele anaona kiza plus maisha magum huchagua kufa ili aiepuke fedheha!!Kama ulienda kwenye maandamano utakubaliana namimi kuwa mzuka ulikuwa wa ajabu mno.
Risasi hatukuzihofia tena