GE2025 Video: "Hizo risasi hizo" Wananchi wakienda kumzika mwenzao aliyepigwa risasi na Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Narudia hili neno, watawala endeleeni kunesanesa kwenye v8, ponyeni Taifa hili....

Hawa vijana na hichi kizazi tunakichukulia poa, ukikumbuka maumivu ya Muhammad Gaddafi kutoka ikulu mpaka kufia kwenye calvati... Kuna la kujifunza
 
Binadamu anapokua hana Cha kupoteza na mbele anaona kiza plus maisha magum huchagua kufa ili aiepuke fedheha!!

Hili jambo litaharibu kabisa utu was kitanzania tulioujenga Kwa miaka mingi!
Na wapo vijana watakao tumia hiyo nafasi kama njia ya kuonyesha kizazi na ushujaa wao kwenye familia ili waonekane walikuwa kwenye mapambano ya maisha na wakafa mashujaa
 
Wewe unasitahiri kupigwa risasi mapema sana kabla hujaleta madhara nchini.
Nimefikiria kuwasiliana na genz wa kenya tuchangishane tununue silaha tuwe tunaazimana kila panaponuka
 
Nimefikiria kuwasiliana na genz wa kenya tuchangishane tununue silaha tuwe tunaazimana kila panaponuka
Wewe haupo nchini au ni Mkenya. Wakenya walioingia nchini nafikiri hawatarudia tena kama wamepona walifikiri hii ni Kenya.
 
Taratibu ujinga na ulafi wa madaraka wa kikundi cha majizi na mafisadi unaenda kutengeneza makundi ya waasi.
Tunaelekea kubaya sana sana. Aisee kama mtu unajua kusoma hisia na siyo mtu wa kelele unaona wazi kwamba hawa vijana (tena wengi bado ni wadogo sana) hawana chakupoteza. Kinachostua zaidi ni kuwa jinsia ya kike wako wengi kweli kweli. Akitokea mtu leo hii akasema anaanzisha jeshi la ukombozi wa Tanzania atapata vijana wengi sana. Mimi nimekuwa nasema kila siku. Hawa bodaboda na machinga wanaotumiwa na CCM kwenye mikutano ndiyo watakuja kuikomboa Tanzania na kuifuta kabisa CCM.
 
Naanza kuelewa kwanini Goma ilipochukuliwa nakile kikundi walidai ni cha waasi wananchi walikuw wakishangilia kwa nguvu
 
Nachojua yakijirudia hayatakuwa ya kinyonge, silaha za kujihami ni muhimu sana
Kazi bado pevu...

Na Kwa spirit hii wakirudi barabarani Hali itakuwa mbaya zaidi Kuliko mwanzo...

Tuzidi kuomba maana kuna kila dalili ya maandamano kujirudia...
Mu
 
Mkuu nimefanya trend reading naiona wave two ya maandamano tena itakua very rough na huenda watawala wasipende ila hawatoweza kuzuia itakua ina visasi na pengine itapoteza polisi wengi.

Busara ilitakiwa kutumika tangu mwanzo Jaji Warioba, Prof Tibaijuka, Mzee Malisa , Gwajima na Polepole hao wote ni CCM walishauri vizuri ukiachia wachambuzi wengine na wanachama wa vyama vya siasa na wasio wanasiasa.

Maandamano haya yameleteta chuki hata kwa wale waliosema au wasiojihusisha na siasa wala maandamano.

Nimeona hadi kisa cha polisi mstaafu kupigwa risasi na yeye ndio aliita polisi kunusuru duka lililovunjwa na vibaka wakati wa maandamano licha ya yeye kujitambulisha hawakujali.

Nimeona video za matukio ya watu kushambuliwa wakiwa majumbani kwao tena wakiwa hawana silaha yoyote.

Kama mtu unafanya trend reading utajua tu mauaji haya yameacha mpasuko mkubwa tu maana hata hao polisi ambao hawakua mitaani kupiga watu risasi nao wamepoteza ndugu jamaa na marafiki ambao hata hawakua kwenye maandamano wengine hata wakitajwa hawakuwahi kujihusisha na siasa.
 
Inatakiwa zipatikane silaha walau hata moja kila mkoa kwa genz
Ndio wanataka watu wafike huko na wao ndio watawafikisha.

Mifumo yote ya utoaji haki imetekwa na wahuni wachache sasa wananchi wakiamua kujitetea ndio hubaki na chaguo hilo tu.

Fikiria mtu anayeitwa mwanasheria mkuu anaapishwa na kauli yake ya kwanza tu ni kusema atamsaka Mange hivi kweli haoni mauaji yaliyofanyika na kusema watachukua hatua gani kuwachukulia hatua za kisheria waliohusika yeye anarukia mambo ya kipuuzi kabisa kumsaka mtu ambaye hakuwepo hata kwenye maandamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…