Video: How busy is Ubungo bus Terminal?

Mkuu umepiga Vyombo, Tatizo leo umeanza mapema sana[emoji2]
mimi Iringa huwa nakamua masaa 6 hadi 7 maximum, ni Km500 toka Dar,
Ukitoka dar saa 12 asubuhi saa 6 upo Iringa, Huyo jamaa yako alilala wapi?
Tanzania ndiyo inayoongoza kwa ajali barabarani.Hili halina ubishi ndugu yangu
 
Hallo jirani poa sana Kiswahili chako safi kabisa, Kumbe tunaelewana fresh tu hna shida.
 
Acha uongo huku Tz mikoa 4 tu ndo mabasi hayasafiri masaa 24, huyo alikudanganya mkoa wa Iringa haumo katika hiyo mikoa ambayo mabasi yanasafiri mwisho saa 6 usiku
 
Najua umetokea Iringa na unayajua haya sema unajitoa ufahamu, watakuja hapa Wahehe wakutulize.
Mshikaji wangu wa kwenu huko Mhehe, tulikua tunachat naye muda wote mpaka wanasimamishwa na mapolisi hadi likaegeshwa walale.
DAR-MORO 492KM hiyo gari gani inalala njiani mkuu wakati Dar-Iringa ni karibu sana.
Kigoma Dar saivi wanaingia DAR 11.00ALFAJIRI
 
Wewe kweli. Kichwanazi na unatunga hadithi tuu hapa... Gari inatoka dar inafika iringa saa 8:30 mchana unasema imelala njiani.. Arusha gari ya kwanza inafika saa 10 jioni

Isitoshe gari zilikua zinakatazwa kusafiri kuanzia saa 6 usiku.... Hata gari ikitoka saa 6mchan dar kwenda arusha saa 4 usiku ishafika
 
Mkuu umepiga Vyombo, Tatizo leo umeanza mapema sana[emoji2]
mimi Iringa huwa nakamua masaa 6 hadi 7 maximum, ni Km500 toka Dar,
Ukitoka dar saa 12 asubuhi saa 6 upo Iringa, Huyo jamaa yako alilala wapi?
Na kwa basi saa8:30 mchana ishainhia Iringa ulizia Newforce Luwinzo na Njombe express aache kupuyanga tuu
 
Wakenya wanaona maruerue tu hapo, wakifikiria yale malori yao wanayoteseka nayo kwenye barabara zao mbovu intercounties travellers na wakiona vyuma vya Tanzania wakiteleza kwenye carpets kila mkoa vichwa vinawauma

Stendi tu zenyewe hawana, halafu utaratibu zero kila mtu ni sumatra, mwenye gari ndio mwenye ratiba na utaratibu mzima wa safari mpaka nauli.

Tanzania mambo ni tofauti kuanzia kwenye stendi na kuendelea

Ngoja niwape Chuma kinachojengwa pale the capital, hii terminal ndio kubwa kuliko zote Africa mashariki na kati, itakua na hotels, malls, restaurants, movie halls, etc hii ni zaidi ya airport ya Nairobi

Inakamilika 2020, vyuma vingine ambavyo vipo kwenye ujenzi ni terminals mpya za Dar, Mwanza, Tabora etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…