Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
That's the most stupidiest defence I have ever heard! So 100% of people in Nairobi r having their private cars! No what r matatus doing in ur streets?Nairobi haina hizi sana sababu watu wengi wana magari yao binafsi. This Tz bus station is just busy because of poverty waTz can't afford cars halafu ona vile mahali pale Ubungo pachafu sana.
Booob hata stationa ya train Safi ya Tabora??!Sawa ubungo pachafu,hapo nairobi bus terminal pasafiView attachment 1197010
Ulimpa nan msaada kuku maji weweee??!!!!Hata sisi tuliwapa msaada kule Mwanza so we still richer than you nincompoops. Weka nyingine nami niweke....bure kabisa
Albino hawauliw hzo past news hamuelewi mkiambiwa mlete current news.Wewe kweli una akili timamu? Mbona Ubungo,Manzese na Kijitonyama kunakaa vile? Mbona mnaua albinos kwa wingi vile? Mbona ndege zenyu chache zinatekwa na mataifa mbali mbali?
Matajiri[emoji2][emoji2]
View attachment 1197068
Uko exposed ila safari ya Dar iringa hata mimi ntakushangaa ulale njiani kivipi umbali wa 500 km na barabara inalami vizur tu...Dar -mbeya 850 km na watu wanafika saa mbili usiku wewe apo Iringa kuna nn?Ndio yale yale ya siku zote, Watanzania hupelekeshwa kwa mpigo mmoja. Kitu kama hiki hauwezi kukiona huku Kenya maana hamna sheria ya kuzuia muda wa mabasi kusafiri. Kwa Bongo huwa inabidi mabasi ya mikoani yatoke yote muda wa masaa ya asubuhi ili yasafiri mchana wote na kufika mida ya saa mbili hadi saa nne usiku, la sivyo yanalazimishwa kuegeshwa pembeni abiria wanalala njiani.
Kuna mshikaji wangu juzi amesafiri kwenda Iringa tokea Dar, ilibidi basi liegeshwe walale njiani, sheria za ajabu hizo.
Niliwahi kusafiri kwenda Arusha, tulitoka Dar kama tumechelewa mida ya saa saba, iltulazimu kulala Moshi, ilinibidi kukodi chumba maana upumbavu wa kulala kwenye basi siwezi.
Kwa Kenya, usafiri wa usiku ni ruksa, hivyo hamna haya mahangaiko ya kusongamana, mabasi yanaondoka muda wowote.
Uko exposed ila safari ya Dar iringa hata mimi ntakushangaa ulale njiani kivipi umbali wa 500 km na barabara inalami vizur tu...Dar -mbeya 850 km na watu wanafika saa mbili usiku wewe apo Iringa kuna nn?
Hehehe!! Hii kuna sehemu nimeiweka vizuri baada ya kurejelea chat zangu na mdau niliyekua namsema, ni kwamba walichomoa Ubungo mchana, wakabanwa Kitonga usiku na mipolisi ambayo haikuruhusu kuendelea zaidi ya hapo.
Lakini mimi imenitokea pia, niliabiri basi la mchana kutoka Ubungo kwenda Arusha, tukaishia kulala Moshi, kwanza ilikua tuzuiwe pale Himo ila polisi wakagombana wenyewe, maana mmoja alikua anasisitiza liegeshwe wenzake wakakatalia na kuamuru dereva alipeleke hadi Moshi.
Nililala hotelini na kuomba mhudumu aniamshe mapema niliwahi kabla halijaondoka kwenda Arusha.
Kwa Kenya ni ruksa kuondoka muda wowote na kufika saa yoyote.
Polisi usiku kitonga? Hivi unajua kitonga ni Porini? Na kuna sehemu pia umesema gari iliharibika. Unajua ukiwa mwongo uwe na Memory Nzuri.
Gari ya Iringa ya Mwisho inatoka saa 6 mchana na inafika iringa Saa 2,
Poa bro nmeshakuelewaHehehe!! Hii kuna sehemu nimeiweka vizuri baada ya kurejelea chat zangu na mdau niliyekua namsema, ni kwamba walichomoa Ubungo mchana, wakabanwa Kitonga usiku na mipolisi ambayo haikuruhusu kuendelea zaidi ya hapo.
Lakini mimi imenitokea pia, niliabiri basi la mchana kutoka Ubungo kwenda Arusha, tukaishia kulala Moshi, kwanza ilikua tuzuiwe pale Himo ila polisi wakagombana wenyewe, maana mmoja alikua anasisitiza liegeshwe wenzake wakakatalia na kuamuru dereva alipeleke hadi Moshi.
Nililala hotelini na kuomba mhudumu aniamshe mapema niliwahi kabla halijaondoka kwenda Arusha.
Kwa Kenya ni ruksa kuondoka muda wowote na kufika saa yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23] hii observation butu kabisaWhat I have learnt since I joined this forum..... Tanzanians are obsessed with food and bus stations. Yenyewe people are different. Why would someone start a thread about a bus station...why?? I'm at aloss I just don't get it....anyway, to each their own.
Mk sema ukweli hamna bus terminal mna stage pembezoni mwa Barabara. Na ache kusema uongo bus toka dar to iringa ni saa 8 kwa hivyo hakuna kulala njianiNdio yale yale ya siku zote, Watanzania hupelekeshwa kwa mpigo mmoja. Kitu kama hiki hauwezi kukiona huku Kenya maana hamna sheria ya kuzuia muda wa mabasi kusafiri. Kwa Bongo huwa inabidi mabasi ya mikoani yatoke yote muda wa masaa ya asubuhi ili yasafiri mchana wote na kufika mida ya saa mbili hadi saa nne usiku, la sivyo yanalazimishwa kuegeshwa pembeni abiria wanalala njiani.
Kuna mshikaji wangu juzi amesafiri kwenda Iringa tokea Dar, ilibidi basi liegeshwe walale njiani, sheria za ajabu hizo.
Niliwahi kusafiri kwenda Arusha, tulitoka Dar kama tumechelewa mida ya saa saba, iltulazimu kulala Moshi, ilinibidi kukodi chumba maana upumbavu wa kulala kwenye basi siwezi.
Kwa Kenya, usafiri wa usiku ni ruksa, hivyo hamna haya mahangaiko ya kusongamana, mabasi yanaondoka muda wowote.
Hehehe! Haya bwana, nimemfuata kwenye chat history zangu naye, naona walitoka mchana na walikwama maeneo ya Kitonga.
Binafisi sina uzoefu na Iringa, nimezoea Tabora.