Video: How Tanzania Harasses Foreign Investors

Issue hapa ni mahusiano yapi yako kati ya Muuza taa na Mvuvi aliyenunua taa hizo na sasa zinaonekana haziruhusiwi kwa uvuvi. Je hizo taa ni maalumu kwa kazi hiyo tu au?
 
Hivi hakuna Charge sheet za vitu kama hivyo?.
Kwamba unampatia mtuhumiwa notice ya Kosa lake! Maana yake unamtuhumu toka hapo zoezi za kufikishana mbele ya mahakama inachukua hatua/nafasi yake kama mtuhumiwa kakataa kosa lake.
 
Lakini mbona nyie mnabisha kila kitu? Mfano mkiambiwa tz kuna mafukara mnabisha ?Mnasema uovu wapatikana Kenya tu ila ukweli ni kuwa unapatikana duniani kote.kwa nini

I can say that I am global citizen...I have been in different countries both developed and developing ...poor are everywhere...I just hate they way brothers and sisters of Tanzania and Kenyans wanavyojibrag na empty stomachs, empty pockets, poor health services, poor education system....slave of politics and politicians.

Wake up guys, these boarders were put by wakoloni....raised and nurtured in their culture ...leo hii ati tunakuwa wapumbavu kusifia ya wazungu.

Those who protect their boarders are cowards,
 
😂😂😂😂😂😂huwa unanibamba sana. The way you handle these Mongoloids. Be careful with them though. I was banned another day.
Ni waoga Kama jeshi yao.. kulilia mods saaa zote.. they block you when you're talking hard truth... Kwanza tule tujinga hatuwezi argue.. all they can say is Kenya land and failed state... Hahahahahaha tufala Sana
 
Wanaojigamba ni wenzako. We as Kenyans have accepted that there are poor people and slums which we are trying to eliminate. Your fellow Tanzanians always try to justify themselves in everything and uses kibera for consolation. There are guys in one of the most active thread dar vs nai who are oblivious of what's happening in their country due to their obsession with Kenya. They deny everything bad about their country. When will you step down from this hypocritical nature Tanzanians?
 
Ni waoga Kama jeshi yao.. kulilia mods saaa zote.. they block you when you're talking hard truth... Kwanza tule tujinga hatuwezi argue.. all they can say is Kenya land and failed state... Hahahahahaha tufala Sana
Infact the reason why I got banned is because someone called me a monkey. I had warned them several times. Niligundua wanatuogopa sana
 
Waende kwao, we don't need them anymore, si wanatufukuza kwao at sie hatuwataki wapuuuzi sana.
 
Janerose ati watz walikufanya nini? Walikunyang'anya bwana ako. I love Tanzanians, Uganda and Rwanda people...they are part of social and geographical settings.

Rock out with Kenya swagger wakati dunia ni kijiji
 
Hakuna tajiri hufukuzwa na wazungu. Wanaofukuzwa ni omba omba. Kila nchi hukaribisha foreign investment, isipokuwa Tanzania ambapo mnawanyanyasa investors.
Baba wetu wa taifa mwl. Nyerere alitufunza tukafunzika eeh, huwa hatulei vijibwa vya wazungu kujidai investors kumbe kumendea fursa za kai kwa vijana wetu.

Wawekezaji wa vibulb wa nini mbona hawajengi viwanda vya computer na magari huku Afrika?? Wapuuzi wakawekeze kwenu Kenya si Tanzania yetu.
 
Kuna thread yangu iling'olewa eti nimemkumbusha kengeza ulole uzi aliosema kuwa SGR Kenya haitajengwa and that was back in 2014.
 
Viwanda vyenu vya matofali, sherehani tano na chipsi mayai?
 

Hakuna shida. Hayo mafikira ya 'Nyerere' itamtoka tu.

Kwa sasa, haya makampuni tutayakaribisha yafungue regional headquarter zao hapa Kenya, alafu kuexport kwa mataifa kama Tanzania na mengineo.
Muda ukiwasili, haya haya ndio yatakuwa ya kwanza kujenga viwanda.
Usidhani wageni kutoka nje wataingia tu wajenge viwanda bila ata kujua market iko vipi.
 
Meza vidonge ulale. Mna unafiki wa kupitiliza nyie.wanafiki ni wabaya kuliko wauaji. Ni vizuri tujichunge wasije wakatutendea uhayawani usio na kifani

Wewe wasema Janerose. Siumwi ati niko kwa Waluya mie nakula mema ya Kenya. They are full of love, hakuna unafiki na chuki kama pande zingine
 
Hatudanganyiki tumesoma sasa, ni suala la muda tu hizo takataka zao tutazizalisha tu.

Wachukueni tu waue bongo za wanenu upuuzi wa kutuletea hizo light industries kutuchafuria mazingira wakome kabisa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…