Video: How Tanzania Harasses Foreign Investors

Video: How Tanzania Harasses Foreign Investors

Acha ujinga wewe, hivi MTU akipata msiba, au amepata tatizo la NYUMBA yake kuungua, ukitoa rambirambi hiyo ni donation, hiyo inajulikana kama community/social accountability.

Huna aibu eti Kenya imetoa donation kwa USA, ni sawa na wewe kumpa donation MO Dewji, ila akipata msiba, hata umpe $10 kama rambi rambi lazima atapokea na kukushukuru, sio kwamba anashida nayo.

Serikali ya Kenya ina uwezo na hela za kununulia wananchi wake wanyonge chakula. China kuleta chakula cha msaada ni mapenzi yao, ilhali haikuwa necessary. We were handling the situation on our own.

Lakini kumbuka bongolala ni nchi ambayo ata pesa ya kuwazika waadhiriwa wa msiba wa ferry lazima isaidiwe na jirani Kenya.
 
Mie sijaelewa. Kwani kuna Solar za kuvulia na za Matumizi ya Nyumbani?
 
Any progressive country looks at countries ahead of it not those behind. Why doesnt kenya look at SA, Egypt etc? why the obession with Tz? Its just pure hatred and fear of competition.

Countries first and foremost look at who they share a border with. US is always talking of Mexico and Canada despite them NOT being ahead of it.
Alafu, Tanzanians are the ones obsessed with Kenyans. Genuine people being harassed everyday.
Hapa Kenya we could care less of whether Tanzanians in our country are doing business or not. At the end of the day, we know you are inferior businessmen.
 
eti jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata..... ..... Utafikiri anaeongelewa ni jambazi sugu

Vitu zengine waafrika hua ni uzembe ndo utatusumbua tu....
kitu cha kwanza,
1. Nani alimpa leseni ya kuanzisha kampuni hio (manake utapata leseni anayo)
2. Aliruhusiwa vipi kuagizia hayo mataa yote kama hakuwa na leseni ya kuuza hayo mataa?
3. Kama ni hatia kwa wavuvi kutumia mataa usiku kule baharini, Wanaofaa kushikwa ni wavuvi ambao wanavunja hio sheria, sie alie wauzia taa.... Hauwezi kushika muuzaji wa visu wakati mnunuzi ndo alieenda kutumia kisu kuua mtu!!!!
 
Hahahahaha, Ramaphasa talks about Kenya?, hujala wewe bado unanjaa, msikilize Ramaphosa wakati wa Mazishi ya Nelson Mandela akimkaribisha Kikwete, utajua Ramaphosa anavyoichukulia Tanzania. Kama Ramaphosa anaikubali Kenya, kwanini ameendelea kukataa wakenya kuondolewa visa?

SA ministers are always talking about how Kenya's Visa situation will be rectified. Sijui haya yako unatoa wapi?
But still, Kenyans visiting South Africa are not denied. They just have to apply.
 
Stop deflecting.
Hii ni kisa moja tu. Bahati kikawa recorded.
Lakini haya ndiyo masaibu wakenya wanapitia kila siku huko.

Hakuna anayekataa kurudi kwao. Lakini kinachoendelea huko ni harassment. Mtu ako na documents zote, anafanya biashara halali, ameinvest pesa yake on 'immovable assets', alafu anapewa siku 3 aondoke nchini.
Polisi kila siku kwake wakimnyayasa.

Pia kuna wengine ambao wameishi huko miaka karibu 30, watoto wao hawajui nchi ingine, alafu siku moja polisi wenu wanawaeka korokoroni ati ni 'wageni'.

There is a heavy correlation between jealousy and laziness.

Sio kweli kwamaba Kenyans wanateseka Tanzania, wapo wanafanya kazi na kumake pesa. Wengi ni wazuri, wengine na wabaya na wezi wa mali na wake za watu. Kama ilivyo kwenu kuna watanzania wazuri na wabaya.

So some of you say we are lazy ati...nyie mnawajibika sio? Haahaa haaa the white man syndrome. Our Kenya as USA of Africa!!! Keep it up Wakikuyu, why cant you learn to be kind from your Jaluo or Luya brothers and sisters

Hongereni kwa kingereza kizuri but let it not make you so arrogant.
 
Aisee wakenya ni rafiki zangu sana ila linapokuja suala la kazi na uhamiaji urafiki wetu unayumba nusu ya kudondoka! Wakenya hupenda kujiinua na kujifanya miungu watu hata pale wanapokuwa wamekuja ndani ya nchi yako kwa njaa zao binafsi bado watataka uwasujudie na kuwaona kuwa wao ndiyo wasomi kuliko afrika nzima,wao ndio wanajua kila kitu,wao ndio wana haki zote hata zile ambazo Mzawa wa nchi husika hana!! Wakati kiuhalisia sivyo walivyo,walichonacho wakenya ni kiburi,ubinafsi na dharau zisizo na msingi wowote,wako huku wengi wanaosaka kazi za kuchimba mitaro na kujenga matofali,ila ukiwakuta wakichimba mtaro na mwenzao ambae si mkenya bado wanamdharau na kumwona kama vile si binadamu aliyekamilika! Na ujambazi ndiyo kazi nyingine anayoiweza mkenya,utadhani huwa wanafundishwa huko shuleni kwao! Wakenya si watu wa kuishi nao,tukutane tu kwenye usafiri au semina baada ya hapo wakae mbali na mimi! Hovyo sana hawa!
Kwn we n mchimbaji mitaro..hebu nijuze
 
Mmmh eti laziness nyie wenyewe mnakufa na njaa huko, huo uchapa kazi unawafaidi nini wakati chukula tu chenyewe mnasaidiwa?

Laziness ni wanaume wenye misuli kuwa wakora na kuibia wadada pochi zao hapo Nairobi badala ya kwenda kuponda kokoto wapate pesa

Tanzania inawalisha nyie wote kuanzia matunda mpaka githeri yote inatoka Tanzania
Nitajie products zenye ziko katika market ya kenya ambazo ni za tz na mm nikutajie zetu tupambanishe...hhhhh
 
Sio kweli kwamaba Kenyans wanateseka Tanzania, wapo wanafanya kazi na kumake pesa. Wengi ni wazuri, wengine na wabaya na wezi wa mali na wake za watu. Kama ilivyo kwenu kuna watanzania wazuri na wabaya.

So some of you say we are lazy ati...nyie mnawajibika sio? Haahaa haaa the white man syndrome. Our Kenya as USA of Africa!!! Keep it up Wakikuyu, why cant you learn to be kind from your Jaluo or Luya brothers and sisters

Hongereni kwa kingereza kizuri but let it not make you so arrogant.

Nenda kasome hapa.

https://www.nation.co.ke/news/Tough...-from-Tanzania/1056-4281264-b6cl4i/index.html

tz.JPG
 
Ndo maana mnapewa msaada wa chakula!
Msaada wa chakula....hhh...naona juzi tu mlipewa msaada wa flyover...ldc ni ldc tu...wanakomalia ukulima na viwanda vya cherehani...limeni baba pesa iko kenya kila kila mtu na kazi zake si nyie kila mtu anakomaa na ukulima
 
Chema chajiuza, Kibaya chajitembeza.

Hawa jirani zetu wanapenda sifa sana, ingawa sio wakenya wote.

Hivyo wandugu zangu watanzania, wasifuni wakenya wapeni Big up sana. Ni kweli wako mbali sana kimaendeleo, kielimu, kimichezo na hata ktk medani za siasa pia. Hivyo mnapokataa kuwasifu wanaumia sana.

Bravo Kenyans, Bravo Wakikuyu.
 
Any progressive country looks at countries ahead of it not those behind. Why doesnt kenya look at SA, Egypt etc? why the obession with Tz? Its just pure hatred and fear of competition.
Kila siku mi-jubilee mnajaza nyuzi humu..Dawa yenu ni JPM. na yupo hadi 2025..Chini ya miaka 2 amenyang'anya kenya miradi mwili( Pipeline, SGR) Bado miaka 8..Hata Safaricom mnayo ringa nayo mtanyang'anywa
Dar billionaires now top investors in Safaricom
Stop whinning and start working smart
Dr Kiherehere thinks Kenya gives even one https://jamii.app/JFUserGuide about Tanzania... Hahahaha hahahaha has our president even tried picking the phone to tell your fool a single word? Ah... Nope.. we are too busy working with the rest of the world and not just Rwanda like Fool-i
 
Mie sijaelewa. Kwani kuna Solar za kuvulia na za Matumizi ya Nyumbani?

Hawapendi kutumia kichwa.
Huyo afisa alikuwa ananyanyasa huyo mama, ili apewe rushwa.
Jambo ambalo huwatendekea Wakenya huko Tanzania kila siku.
 
Countries first and foremost look at who they share a border with. US is always talking of Mexico and Canada despite them NOT being ahead of it.
Alafu, Tanzanians are the ones obsessed with Kenyans. Genuine people being harassed everyday.
Hapa Kenya we could care less of whether Tanzanians in our country are doing business or not. At the end of the day, we know you are inferior businessmen.
Mbona US inawazuia watu kutoka Mexico na kuwaridisha makwao?. South Africa inawa harras citizens from neighboring countries, Europe inafanya hivyo hivyo kwa raia toka poor countries.

Siku zote raia toka poor countries lazima wawe harassed when they go to other countries which are better off. We treat Kenyans the same ways USA treats Mexicans, the Sana way Europeans treat immigrants from Africa, the same way South Africa treats citizens from neighboring countries. The message is clear, you are not needed in those countries.
 
Sio kweli kwamaba Kenyans wanateseka Tanzania, wapo wanafanya kazi na kumake pesa. Wengi ni wazuri, wengine na wabaya na wezi wa mali na wake za watu. Kama ilivyo kwenu kuna watanzania wazuri na wabaya.

So some of you say we are lazy ati...nyie mnawajibika sio? Haahaa haaa the white man syndrome. Our Kenya as USA of Africa!!! Keep it up Wakikuyu, why cant you learn to be kind from your Jaluo or Luya brothers and sisters

Hongereni kwa kingereza kizuri but let it not make you so arrogant.
Stop talking about tribalism here. Who told you that kikuyus own Kenya? There are a lot of tribes in Kenya. I don't understand why you Tanzanians talk of luos and kikuyusonly.It's like me saying that wachang'aa and waspinach are the ones who rule tanzagiza
 
Mbona US inawazuia watu kutoka Mexico na kuwaridisha makwao?. South Africa inawa harras citizens from neighboring countries, Europe inafanya hivyo hivyo kwa raia toka poor countries.

Siku zote raia toka poor countries lazima wawe harassed when they go to other countries which are better off. We treat Kenyans the same ways USA treats Mexicans, the Sana way Europeans treat immigrants from Africa, the same way South Africa treats citizens from neighboring countries. The message is clear, you are not needed in those countries.

USA deports illigal beggars from Mexico.
Tanzania harasses genuine businessmen from Kenya. Big difference.
Ati they are coming to steal our jobs.

Kama ni mambo na poor country, hawa omba omba wenu wote karibu nusu milioni tungewarudisha huko kwenu leo hii.
 
Stop talking about tribalism here. Who told you that kikuyus own Kenya? There are a lot of tribes in Kenya. I don't understand why you Tanzanians talk of luos and kikuyusonly.It's like me saying that wachang'aa and waspinach are the ones who rule tanzagiza

So you say!! Hujui kabila moja Tanzania. I leave in Kenya, for your information I am part of it. I am tired and sick of this brags and mighty we have...while people are in dire poverty
 
Hahahahaha, Ramaphasa talks about Kenya?, hujala wewe bado unanjaa, msikilize Ramaphosa wakati wa Mazishi ya Nelson Mandela akimkaribisha Kikwete, utajua Ramaphosa anavyoichukulia Tanzania. Kama Ramaphosa anaikubali Kenya, kwanini ameendelea kukataa wakenya kuondolewa visa?
Mbona ana mcheka Magu-Fool-i kilasiku
 
Back
Top Bottom