kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
- #81
Acha ujinga wewe, hivi MTU akipata msiba, au amepata tatizo la NYUMBA yake kuungua, ukitoa rambirambi hiyo ni donation, hiyo inajulikana kama community/social accountability.
Huna aibu eti Kenya imetoa donation kwa USA, ni sawa na wewe kumpa donation MO Dewji, ila akipata msiba, hata umpe $10 kama rambi rambi lazima atapokea na kukushukuru, sio kwamba anashida nayo.
Serikali ya Kenya ina uwezo na hela za kununulia wananchi wake wanyonge chakula. China kuleta chakula cha msaada ni mapenzi yao, ilhali haikuwa necessary. We were handling the situation on our own.
Lakini kumbuka bongolala ni nchi ambayo ata pesa ya kuwazika waadhiriwa wa msiba wa ferry lazima isaidiwe na jirani Kenya.