Video: How Tanzania Harasses Foreign Investors

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
4,349
Reaction score
3,745
For a country known worldwide for exporting omba omba and witch doctors, Tanzania does like harassing foreigners doing genuine business in their country.
Kenyans are harassed everyday even when they have legit documents.
Major companies are afraid to invest there because they are worried the Supremo might wake up and nationalize their investments.

Also, harassing foreigners (mostly Kenyans) is not just a government policy. It goes down to the lowest class of the society.

The stupidity of thinking that when the Kenyans are kicked out, a Tanzanian will fill in the shoes. The truth is Tanzanians are lazy and majority cannot even do what foreigners in that country accomplish.

As I was on Twitter, I've seen this video of a government official harassing a white lady. He says that she sold some fishermen some solar bulbs.
From what I could gather, fishermen are not allowed to use bulbs.

Sasa ndio nauliza, nikikuuzia kitu, alafu uende uvunje sheria nacho, makosa ni yangu?

Na ndio maana wanaitwa bongolala.

Mfano ile gari ilitumiwa kumteka Dewji, watamkamata mkurugenzi wa kampuni ambayo iliiuza?

Hehehe, hapo ni kama leo ukawakamate wauza vilipuzi kwa sababu wavuvi wanavitumia kuvua samaki kinyume na sheria.
Hapo nafikiri kama ilivyo kwa wale Wanaijeria, tatizo ni lugha gongana, maana huyo mdada anauliza wapi sheria au kifungu kinachomzuia kuuza hayo mataa, maana yeye mwisho wa siku hafuatilii yatakavyotumika, lakini jamaa anahangaika na lugha bora angeita mkalimani.
 
Introduction ya hii habari yako nilijua probably 100% hii issue ni ya mkenya, over suddenly nashangaa mama wa kizungu 😂😂😂

Kumbe ni backfire ya kimaandishi namna ulivyofurushwa Tanzania na officials

Hivi kwanini wa Kenya mnachukia nchi yenu kiasi hiki? Mkenya anayeishi Tanzania ukimuambia arudi kwao ni kama umemuambia aende jehanamu. Why?
 
Stop deflecting.
Hii ni kisa moja tu. Bahati kikawa recorded.
Lakini haya ndiyo masaibu wakenya wanapitia kila siku huko.

Hakuna anayekataa kurudi kwao. Lakini kinachoendelea huko ni harassment. Mtu ako na documents zote, anafanya biashara halali, ameinvest pesa yake on 'immovable assets', alafu anapewa siku 3 aondoke nchini.
Polisi kila siku kwake wakimnyayasa.

Pia kuna wengine ambao wameishi huko miaka karibu 30, watoto wao hawajui nchi ingine, alafu siku moja polisi wenu wanawaeka korokoroni ati ni 'wageni'.

There is a heavy correlation between jealousy and laziness.
 
Aisee wakenya ni rafiki zangu sana ila linapokuja suala la kazi na uhamiaji urafiki wetu unayumba nusu ya kudondoka! Wakenya hupenda kujiinua na kujifanya miungu watu hata pale wanapokuwa wamekuja ndani ya nchi yako kwa njaa zao binafsi bado watataka uwasujudie na kuwaona kuwa wao ndiyo wasomi kuliko afrika nzima,wao ndio wanajua kila kitu,wao ndio wana haki zote hata zile ambazo Mzawa wa nchi husika hana!! Wakati kiuhalisia sivyo walivyo,walichonacho wakenya ni kiburi,ubinafsi na dharau zisizo na msingi wowote,wako huku wengi wanaosaka kazi za kuchimba mitaro na kujenga matofali,ila ukiwakuta wakichimba mtaro na mwenzao ambae si mkenya bado wanamdharau na kumwona kama vile si binadamu aliyekamilika! Na ujambazi ndiyo kazi nyingine anayoiweza mkenya,utadhani huwa wanafundishwa huko shuleni kwao! Wakenya si watu wa kuishi nao,tukutane tu kwenye usafiri au semina baada ya hapo wakae mbali na mimi! Hovyo sana hawa!
 
Ndio huyu mwingine akiomba usaidizi wa supremo kutoka Denmark.
No wonder FDI yenu yote ni mashine mbili za kuchimba gesi. Hakuna mtu mwenye kichwa nzuri anayeweza leta pesa huku.

Alafu wanasema Kenya ni ya wazungu. Wacha tukae na wazungu nanyi mkae na umaskini.

For a country known worldwide for exporting omba omba and witch doctors, Tanzania does like harassing foreigners doing genuine business in their country.
Kenyans are harassed everyday even when they have legit documents.
Major companies are afraid to invest there because they are worried the Supremo might wake up and nationalize their investments.

Also, harassing foreigners (mostly Kenyans) is not just a government policy. It goes down to the lowest class of the society.

The stupidity of thinking that when the Kenyans are kicked out, a Tanzanian will fill in the shoes. The truth is Tanzanians are lazy and majority cannot even do what foreigners in that country accomplish.

As I was on Twitter, I've seen this video of a government official harassing a white lady. He says that she sold some fishermen some solar bulbs.
From what I could gather, fishermen are not allowed to use bulbs.

Sasa ndio nauliza, nikikuuzia kitu, alafu uende uvunje sheria nacho, makosa ni yangu?

Na ndio maana wanaitwa bongolala.

Mfano ile gari ilitumiwa kumteka Dewji, watamkamata mkurugenzi wa kampuni ambayo iliiuza?

I have lived in kenya for many years and to-date discriminating Tanzanians is still an on going think. In Tanzania, there is no shoes for a kenyan to wear unless we want it just the same as for Tanzanians in kenya.
 
Stop deflecting.
Hii ni kisa moja tu. Bahati kikawa recorded.
Lakini haya ndiyo masaibu wakenya wanapitia kila siku huko.

Hakuna anayekataa kurudi kwao. Lakini kinachoendelea huko ni harassment. Mtu ako na documents zote, anafanya biashara halali, ameinvest pesa yake on 'immovable assets', alafu anapewa siku 3 aondoke nchini.
Polisi kila siku kwake wakimnyayasa.

Pia kuna wengine ambao wameishi huko miaka karibu 30, watoto wao hawajui nchi ingine, alafu siku moja polisi wenu wanawaeka korokoroni ati ni 'wageni'.

There is a heavy correlation between jealousy and laziness.
Mmmh eti laziness nyie wenyewe mnakufa na njaa huko, huo uchapa kazi unawafaidi nini wakati chukula tu chenyewe mnasaidiwa?

Laziness ni wanaume wenye misuli kuwa wakora na kuibia wadada pochi zao hapo Nairobi badala ya kwenda kuponda kokoto wapate pesa

Tanzania inawalisha nyie wote kuanzia matunda mpaka githeri yote inatoka Tanzania
 
Aisee wakenya ni rafiki zangu sana ila linapokuja suala la kazi na uhamiaji urafiki wetu unayumba nusu ya kudondoka! Wakenya hupenda kujiinua na kujifanya miungu watu hata pale wanapokuwa wamekuja ndani ya nchi yako kwa njaa zao binafsi bado watataka uwasujudie na kuwaona kuwa wao ndiyo wasomi kuliko afrika nzima,wao ndio wanajua kila kitu,wao ndio wana haki zote hata zile ambazo Mzawa wa nchi husika hana!! Wakati kiuhalisia sivyo walivyo,walichonacho wakenya ni kiburi,ubinafsi na dharau zisizo na msingi wowote,wako huku wengi wanaosaka kazi za kuchimba mitaro na kujenga matofali,ila ukiwakuta wakichimba mtaro na mwenzao ambae si mkenya bado wanamdharau na kumwona kama vile si binadamu aliyekamilika! Na ujambazi ndiyo kazi nyingine anayoiweza mkenya,utadhani huwa wanafundishwa huko shuleni kwao! Wakenya si watu wa kuishi nao,tukutane tu kwenye usafiri au semina baada ya hapo wakae mbali na mimi! Hovyo sana hawa!

Mkenya hapendi uzembe. Ukweli ni kwamba mchapa kazi na mzembe hawawezi patana. Lakini hio sio basis ya kufukuza mtu, ama kumnyanyasa.

Huku tanzania ikiexport omba omba, Kenya inaexport watu wanaokuja kujenga taifa lenu. Majority of which ni wafanyi biashara, sio waajiriwa.
 
Mmmh eti laziness nyie wenyewe mnakufa na njaa huko, huo uchapa kazi unawafaidi nini wakati chukula tu chenyewe mnasaidiwa?

Laziness ni wanaume wenye misuli kuwa wakora na kuibia wadada pochi zao hapo Nairobi badala ya kwenda kuponda kokoto wapate pesa

Tanzania inawalisha nyie wote kuanzia matunda mpaka githeri yote inatoka Tanzania

Tanzania hakuna wezi? Tumia kichwa baba.

99% of Tanzania ni wazembe wakutajika.
99% of Kenyans ni wachapa kazi.
 
Mmmh eti laziness nyie wenyewe mnakufa na njaa huko, huo uchapa kazi unawafaidi nini wakati chukula tu chenyewe mnasaidiwa?

Laziness ni wanaume wenye misuli kuwa wakora na kuibia wadada pochi zao hapo Nairobi badala ya kwenda kuponda kokoto wapate pesa

Tanzania inawalisha nyie wote kuanzia matunda mpaka githeri yote inatoka Tanzania
I've never bought a single vegetable nor a single product that originated from Tanzania and I know more than 80% of the people from this lovely country called Kenya will say the same.. the only people u feed are ur egos..
 
I have lived in kenya for many years and to-date discriminating Tanzanians is still an on going think. In Tanzania, there is no shoes for a kenyan to wear unless we want it just the same as for Tanzanians in kenya.

I've not heard a single case of police harassing a Tanzanian, or Tanzanians being rounded up for deportation.

But I understand. It's just a matter of the bigger brother. Tanzanian government has a policy of harassing Kenyans because they feel threatened.
On the other hand, Kenya does not feel threatened.
 
Mkenya hapendi uzembe. Ukweli ni kwamba mchapa kazi na mzembe hawawezi patana. Lakini hio sio basis ya kufukuza mtu, ama kumnyanyasa.

Huku tanzania ikiexport omba omba, Kenya inaexport watu wanaokuja kujenga taifa lenu. Majority of which ni wafanyi biashara, sio waajiriwa.
Kwanini msiende kujenga huko Sudan na Somalia?
We don't need Kenyans, hivi mnataka tuandike Kwenye Notice board?
 
Ndio huyu mwingine akiomba usaidizi wa supremo kutoka Denmark.
No wonder FDI yenu yote ni mashine mbili za kuchimba gesi. Hakuna mtu mwenye kichwa nzuri anayeweza leta pesa huku.

Alafu wanasema Kenya ni ya wazungu. Wacha tukae na wazungu nanyi mkae na umaskini.

Hatari sana, hizi video zisjui kama Magufuli anaziona maana naona kila mtu anaendeshwa na visasi.
 
I've not heard a single case of police harassing a Tanzanian, or Tanzanians being rounded up for deportation.

But I understand. It's just a matter of the bigger brother. Tanzanian government has a policy of harassing Kenyans because they feel threatened.
On the other hand, Kenya does not feel threatened.
Good if you know, next move.. don't come here or stop crying .
 
Back
Top Bottom