joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Yes, but not failed state like you 😀 😀 😀Hhhhh!!!na bado mko ldc na tena kw umaskini hamjambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, but not failed state like you 😀 😀 😀Hhhhh!!!na bado mko ldc na tena kw umaskini hamjambo
Kenya mpya ndio hii ambapo kila uchaguzi watu wanapigwa risasi na kuuliwa kama wanyama wa porini, ninyi na wanyama Kyle Masai Mara hakuna tofauti, mnauana zaidi ya wanyamaAlafu tanzania mpka sai siasa zao hupikiwa mpunga...kenya ya 90s walai....yani mwanasiasa anawapikia wapiga kura baada ya hapo wakienda debeni ndiooooo....kwel ldc ni ldc....
Mwanasiasa akudanganye na mpunga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nchi inaongozwa na kabla mbili tu, tena ukoo huo wa Kenyatta ndio uliowadhulumu ardhi, bado unaendelea kuwatawala, stupid.Vp kuhusu kuwatakia wahaya mabaya kisa wanapenda kuongea kikwao na ni wasomi...mwenzoni akiendelea mwakimbilia ukabila..
Tena afadhali ukabila kuliko uzalendo wa machizi...mnaburuzwa kw nchi...kila kitu rais anateua anaowataka yeye...hku raia ndiooooo!!!
Subiri Alshabab waje tena hapo Two River malls waje wawachinje tena.Wacha kelele mingi. Kuleni albino wenu bila kutusumbua.
Ndo maana mnachapwa makofi na mchinaHehehe, hapo ni kama leo ukawakamate wauza vilipuzi kwa sababu wavuvi wanavitumia kuvua samaki kinyume na sheria.
Hapo nafikiri kama ilivyo kwa wale Wanaijeria, tatizo ni lugha gongana, maana huyo mdada anauliza wapi sheria au kifungu kinachomzuia kuuza hayo mataa, maana yeye mwisho wa siku hafuatilii yatakavyotumika, lakini jamaa anahangaika na lugha bora angeita mkalimani.
Hehehe, kuokujua Lugha fulani ni Aibu? Kenyan slavery mind series...Lazima tuelewane kweye lugha kwanza kabla ya kujadili, sio huyo ndugu yako anahangaika na ze ze ze nyingi hata hasklizi anaulizwa swali la msingi yeye ameng'ang'ania zezeze zake tu...
Hehehehe huwa mnatia aibu.
And the difference is US citizen wont prefer to live in Tanzania, right? But the case is so different for Hunger stricken Kenyans daily dreaming of Tz Nchi ya Asali na Maziwa,Lol.. Hayo mambo yote umetaja are meaningless.
USA vs Tanzania
Racisim US 99%, TZ 1%
Crime US 99%, TZ 1%
Terrorism US 99%, TZ 1%
Police brutality US 99%, TZ 1%.
Doesn't change the fact that Tanzania is LDC with 3rd highest population of extreme poor, while USA is a super power.
OK then, bakini huko kwenu msije huku, hatuwataki.You can't get such statistics because most go unreported, hivi utakwenda kuwasema wapi, yaani kwa mfano uhangaishwe na polisi halafu uende kwenye kituo cha polisi kuwasema?
Binafsi nafahamu matukio kadhaa ambayo Wakenya wamewahi kupitia magumu huko. Kuna Mkenya mmoja kwenye bar alikua anakunywa pombe yake na kucheza muziki hana issue na mtu, halafu pembeni kuna maafisa wa uhamiaji ambao walikua wanapata beer zao, baadaye wakabaini jamaa ni Mkenya kwa lafudhi yake.
Wakamkamata na kuanza kumhoji, yeye alikua na stakabadhi zake, lakini jamaa kwa jinsi walikua walevi hawakutaka kumskliza, wakajitoa ufahamu na kuondoka naye usiku, baadaye wakarudi naye kwenye bar na kumuamrisha awaagizie beer kwa muda wote watakua hapo.
Mwengine alikua anatokea kula usiku akakumbana na mapolisi kwenye defender, wakaanza kumhoji, walipogundua ni Mkenya, yaani hawakutaka hata kuangalia vyeti vyake, walimkamata na kuondoka naye na kuzunguka usiku wote akiwa kwenye defender hadi mida ya saa tisa usiku wakamuachia aende zake. Jamaa alifika nyumbani ila asubuhi akakwenda kituoni na kuomba aongee na mkuu wao, akamhadithia masaibu yake ya usiku na kumuonyesha mkuu vyeti vyake halali ambavyo mapolisi hawakutaka hata kuvisoma, mkuu akampa pole tu na kuahidi atachunguza, yakaishia hapo.
Visa vipo vingi tu, binafsi sijakumbana navyo, lakini nawafahamu Wakenya wengi tu ambao walishayapitia, kunaye ambaye polisi walimnyang'anya simu bila hata aibu. Mara nyingi huwa nawaambia Watanzania ambao hawaamini, siku moja wajaribu kuendesha gari lenye namba za usajiri za Kenya, safiri nalo tokea Namanga hadi Dar halafu uniletee mrejesho.
Tz Tuko kwenye Top 10 biggest economies in Africa, wacha bangi bwana mdogo.Tanzania imejaribu amani, lakini sasa hivi ndio LDC number moja Africa.
Wacha basi Kenya tujaribu vurugu. So far imetusaidia kuliko TZ.
😀😀😀
Sijawahi ona Mtu mwingine tofauti na mkenya anakosoa kingereza kibovu, only Kenyans and this is because ofEnglish is recognised as world wide Language . Wapi kwa hii dunia utaenda uongee kiswahili ueleweke apart from Kenya/Tz. Hata ukienda Biashara ama kusoma...China/Dubai/India/South-Africa/Ethiopia/Brazil/Nigeria/Uganda/Spain etc..Lugha utatumia ni English as the official international language. Jichanue bro.
I humbly invite you to bongo, I will personally teach you to love.That exaggeration though. Tanzanians argue with emotions. Umetulia ukatunga haya yote. Ukabila mnao ila hamwezi kiri. Vile nyie hutukana na kuwadhalilisha wakenya humu ni mfano mzuri wa ukabila.
Maneno ya Superpower, powerhouse, power bank, sijui Superhighway huwa nayasikia kwa wakenya tu, stupid arrogant fools.USA is the global economic and military superpower.
Wewe endelea kujibenchmark na Burundi.
You will only end up being the tallest dwarf.
Halafu unakuta uwekezaji wenyewe ni wa wahindi kama hizo banks. Mmejazana Kibera mnajipiga vifua kama nyaniTZ mpaka muuza njugu anahesabiwa kama 'employed'.
Kenya is the only country in EA that has wings in every other EA country. We have even invested more in DRC than Tanzania, despite not even sharing a border with them.
Stupid mindset mixed with slavery mentality, $ is international money, huwezi kutumia KSH anywhere in this world, so why don't you use USD in daily transactions there in Kibera and other parts of Kenya?
Tanzania iko kwa kundi lilo hilo la failed states. Wewe bwana expert unaona kwa nini?
View attachment 911829
Babu hujaitwa Bongo. Kaa kwenu.Stop deflecting.
Hii ni kisa moja tu. Bahati kikawa recorded.
Lakini haya ndiyo masaibu wakenya wanapitia kila siku huko.
Hakuna anayekataa kurudi kwao. Lakini kinachoendelea huko ni harassment. Mtu ako na documents zote, anafanya biashara halali, ameinvest pesa yake on 'immovable assets', alafu anapewa siku 3 aondoke nchini.
Polisi kila siku kwake wakimnyayasa.
Pia kuna wengine ambao wameishi huko miaka karibu 30, watoto wao hawajui nchi ingine, alafu siku moja polisi wenu wanawaeka korokoroni ati ni 'wageni'.
There is a heavy correlation between jealousy and laziness.
Kama nilivyosema, wewe ni miongoni mwa wendawazimu wengi huko Kenya, nchi yoyote huru duniani lazima iwe na vitu vinne kama ishara ya sovereignty[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] What are you trying to say. Even after clear explanation huwezi jikaza kutumia hio 1% ya akili umebakisha kukubali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. How can you compare currency to Language churaii. Sasa ju unaongea kiswahili ukija kusomea USIU Nairobi utafunzwa kwa Kiswahili we bongolala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Thats sureAgain you are stupid at the highest level, no body with sound mind can celebrate his investor going to invest to other countries while back home you are striving to attract investors, man you are stupid, stupid, stupid, jobless Kibera dweller.
Do you think we are happy when we hear a giant Azam is opening plants in Zambia and South Africa, the way he is doing now?, we want him to manufacture those goods here and ship them to South Africa the way he is shipping to Kenya, we don't like him to come and build industries in Kenya, only stupid like you can celebrate that nonsense.
Kenya mpya ndio hii ambapo kila uchaguzi watu wanapigwa risasi na kuuliwa kama wanyama wa porini, ninyi na wanyama Kyle Masai Mara hakuna tofauti, mnauana zaidi ya wanyama[/QUOTEjana tumeuana wangapi
Hhhhhh!!!endelea ku wanga broYes, but not failed state like you 😀 😀 😀