Video: Huu Ndio Mji wa Goma Unaodaiwa Kutekwa na M23

Video: Huu Ndio Mji wa Goma Unaodaiwa Kutekwa na M23

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake.

Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi.

Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala haeleweki wanadai kulinda amani huko wanalinda kitu.

My Take
M23 jitangazieni Nchi huru huko Kivu Ili amani irudi maana hao wakata mauno wa DR Congo Wameshindwa kujitawala.

Tena na Waasi wengine wachukue South Kivu Ili ziwe Nchi huru na Maendeleo yaje.
20250123_195809.jpg

Goma ni Jiji zuri kuliko Mji wowote hapa Tanzania kasoro Dar japo Dar nayo Kwa Goma ni uswazi tuu.
 
Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake.

Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi.

Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala haeleweki wanadai kulinda amani huko wanalinda kitu.

View: https://www.instagram.com/reel/DEz7ZqZNhSW/?igsh=MWNzaTl5azFrZTd0NQ==

My Take
Mwenyekiti wa EAC William Ruto ameitisha mkutano wa Wakuu wa Nchi na kutaka Paul Kagame & Felix Tchisekedi Wahudhurie Iko kutafuta suluhisho.

View: https://www.instagram.com/reel/DFULlvuhBgx/?igsh=M2ZyeTc2cGNwZmJp

View: https://www.instagram.com/p/DFUCcmlt7Km/?igsh=MWU3bm52NDFyeGdudg==

Waafrica ni watumwa wa wazungu ndio maana wanuana wao kwa wao ili kuwachotea wazungu madini na maliasili muhimu.
 
M23 wakifanikiwa kuuteka huu Mji wajitangazie Nchi kabisa,Congo Wameshindwa kujitawala na tumechoka kusikia vifo vya raia Kila siku

Goma ikiwa chini ya M23, na huo ukanda wote wa mashariki ukiwa chini yao utulivu utakuwepo.

Hilo eneo DRC waliachie liwe chini ya hao wababe kama Taifa lao na ndugu zao wa Rwanda, wao DRC wajikite maeneo mengine kule Katanga, Kinshasa, Kisangani nk.

Goma ni mji mkubwa sana, ni mji ambao una mzunguko mkubwa sana pia wa hela.
 
Tena na wengine wajichukulie Kivu Kusini,Kisangani Ili DRC ibakie na maeneo ambayo wanayamudu.

Nchi zikiwa nyingi na ndogo ndogo zinatawalika na Maendeleo yanakuja haraka.

Itakuwa faida Kwa Tanzania.
 
Tena na wengine wajichukulie Kivu Kusini,Kisangani Ili DRC ibakie na maeneo ambayo wanayamudu.

Nchi zikiwa nyingi na ndogo ndogo zinatawalika na Maendeleo yanakuja haraka.

Itakuwa faida Kwa Tanzania.
Tz nayo kubwa mnaweza kuwapa uganda, Kagera. Rwanda nayo mkaipa maeneo ya Ngara, Kigoma nayo mkawapa Burundi.
 
Tena na wengine wajichukulie Kivu Kusini,Kisangani Ili DRC ibakie na maeneo ambayo wanayamudu.

Nchi zikiwa nyingi na ndogo ndogo zinatawalika na Maendeleo yanakuja haraka.

Itakuwa faida Kwa Tanzania.

Shida yetu bado tuna hang'over ya ukoloni, tulipaswa kuchora mipaka mipya kulingana na hali halisi tuliyonayo sasa.
Tusipokuwa makini siku za usoni Africa inaweza kuwa na migogoro mingi sana ya namna hii.
 
Back
Top Bottom