Video: Huu Ndio Mji wa Goma Unaodaiwa Kutekwa na M23

Halafu wanajeshi wa Congo ni waoga wepesi wepesi kinoma kidogo tu wamekimbia ndio maana wanawafanya ushenzi km wangekua ngumu kumeza basi mpaka sasa wangekua tayari wameshamaliza huo upuuzi wa hao wakuda
Watutsi wa Kongo wanapigania existence yao kama Watu wa Jamii ya Kitutsi katika mashariki ya Kongo, Jeshi la Kongo limeungana na Interahamwe FLDR wanapigana bega kwa bega.

Kuna fununu wakuu wa jeshi kuungana na M23 na kufanya Coup huko Kinshasa.

Kongo ni ya Wakongomani wa makabila yote.
 
Hapo kwenye kukimbia ndio mimi nachoka yaan wanakimbia nini hao wakuda wa M23 wamechanjwa hirizi kwamba wakipigwa risasi haziingii au wakipigwa panga halipiti au namna gani?
 
Jeshi la Kongo hata mshahara huwa hawauoni na mara nyingine wakipokea wanapokea nusu Majenerali wanaupiga juu kwa juu.
 
Ndio maana wanafanya kazi ya kanisa na ndio maana nilikua sijaelewa leo nimeanza kuelewa kitu taratibu hapo wana haki ya kukimbia
 
Inaonekana hii news ni habri kubwa sana huko rwanda ni kama rwanda imepata uhuru kwa mara ya pili vile..

Watch out nyie haijaisha hadi iishee..!
 
Tena na wengine wajichukulie Kivu Kusini,Kisangani Ili DRC ibakie na maeneo ambayo wanayamudu.

Nchi zikiwa nyingi na ndogo ndogo zinatawalika na Maendeleo yanakuja haraka.

Itakuwa faida Kwa Tanzania.
unaona raha kwa wenzako vip tanzania nayo tuigawe vipandevipande ilitupate hayo maendeleo haraka maana ccm wametuchelesha muno
 
Hao waasi wajitangazie nchi . Jamhuri ya watu wa Goma. Ya nini kung'ang'ania maeneo halafu hamuwez kuyatawala. Africa ili iendelee inabidi mipaka ipunguzwe. Ukiondoa Rwanda,Burundi na Zanzibar nchi zilizobaki kila mkoa ilibidi iwe nchi na wilaya zake ziwe mikoa.
 
Tunataka Unity of Africa na iwe inclusive ya Makabila yote bila kuwavua uraia Waafrika wenzetu wa Jamii za Kitutsi.
 
Back
Top Bottom